Itachukua miaka mingi kwa ccm kumpitisha tena mgombea Urais kutoka Kanda ya Ziwa

Itachukua miaka mingi kwa ccm kumpitisha tena mgombea Urais kutoka Kanda ya Ziwa

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
1787403955288.png
1787403984602.png

Miaka mingi inaweza kupita kabla CCM haijarudia tena kumpa nafasi ya urais mtu kutoka Kanda ya Ziwa.

Watu wazito nchini kwa maana ya kwamba, Matajiri, Wenye ushawishi mkubwa ndani ya chama tawala, king makers na tabaka la juu la kisiasa, tayari wamepata somo kuwa watu wa kanda ya ziwa wakipewa madaraka makubwa ya Urais, huwa wanaanza kuchokonoa kundi hili lisilopenda bugudha kwenye maisha yao wala mifumo yao
 
Historia ya siasa haifutiki; mara nyingi hurudi kama somo ambalo viongozi hulazimika kulikumbuka.
 
hiyo miaka mingi ccm bado itakuwepo na itakuwa bado inatoa rais sio??....time will tell!!
 
hiyo miaka mingi ccm bado itakuwepo na itakuwa bado inatoa rais sio??....time will tell!!
Miaka 50 iliyopita walitabiri ccm itaondoka, kiko wapi ?

achana na Oktober 29 ya mwaka jana, kumewahi kuwa na majaribio ya wanajeshi wenye vyeo vikubwa kuungana kupindua lakini hawakuweza.

Ccm bado ipo sana mkuu
 
Back
Top Bottom