jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Tanzania ni nchi yenye bahati ya kupata marais wenye uchu wa kuleta maendeleo kwa nchi kuanzia nyerere mwinyi mkapa kikwete magufuli na sasa Samia wote wanaipenda hii nchi wanaweza kuwa na mapungufu kidogo lakini jibu ni wanaipenda hii nchi
Kwa hakika wazee wetu hao wamekufa na kamwe hatutawaona tena na huo ndiyo ukweli!
Lakini pamoja na vifo vyao ukweli ni kwamba kuja kumpata Rais mwenye maamuzi na asiye mwoga wa matendo na kufanya kama wale wazee si leo hakika.
BM & JPM walikuwa ni wazee wa kuamua na kutenda pasi kujali lolote liwalo ama baya ama jema wao walikuwa ni waamini wa kutenda na pia walionelea bora lawama kuliko fedheha.
Mungu awalaze mahali pema wazee wetu wale.
Kwa dunia ya sasa viongozi wa namna hii Awana nafasi kwani karma tuu yenyewe haiwataki....Kwa hakika wazee wetu hao wamekufa na kamwe hatutawaona tena na huo ndiyo ukweli!
Lakini pamoja na vifo vyao ukweli ni kwamba kuja kumpata Rais mwenye maamuzi na asiye mwoga wa matendo na kufanya kama wale wazee si leo hakika.
BM & JPM walikuwa ni wazee wa kuamua na kutenda pasi kujali lolote liwalo ama baya ama jema wao walikuwa ni waamini wa kutenda na pia walionelea bora lawama kuliko fedheha.
Mungu awalaze mahali pema wazee wetu wale.
Kuipenda nchi tu bila kuwa na maarifa ya kuindeleza kisasa ni kazi bure.
kuna tofauti ya nchi na pimbi mmoja mmoja.Alikuwa na mapenzi FAKE ya nchi. Aliye na mapenzi ya kweli kwa nchi hawezi kuwadhuru, kuwabambikia kesi, na kuwaua raia wasio na hatia.
Huna akili weweJambazi na muuaji huyo. Yule Kikwete alitukosea sana Watanzania kumuona yule dhalimu eti ndiye alistahili kutuongoza Watanzania. Mwenyezi Mungu fundi sana katuepusha na maovu mengi sana kuelekea 2025. Ahsante sana Mwenyezi Mungu 🙏🏾
Huna akili wewe
Ni jambazi muuaji from your perspective, ni kiongozi bora from other folks perspective, kwa iyo usishupaze sana, ashakufa.Jambazi na muuaji huyo. Yule Kikwete alitukosea sana Watanzania kumuona yule dhalimu eti ndiye alistahili kutuongoza Watanzania. Mwenyezi Mungu fundi sana katuepusha na maovu mengi sana kuelekea 2025. Ahsante sana Mwenyezi Mungu [emoji1488]