Itachukua miaka mingi mno kuja kuwapata ma Rais wa kariba ya Mkapa na Magufuli

Itachukua miaka mingi mno kuja kuwapata ma Rais wa kariba ya Mkapa na Magufuli

Kwa hakika wazee wetu hao wamekufa na kamwe hatutawaona tena na huo ndiyo ukweli!

Lakini pamoja na vifo vyao ukweli ni kwamba kuja kumpata Rais mwenye maamuzi na asiye mwoga wa matendo na kufanya kama wale wazee si leo hakika.

BM & JPM walikuwa ni wazee wa kuamua na kutenda pasi kujali lolote liwalo ama baya ama jema wao walikuwa ni waamini wa kutenda na pia walionelea bora lawama kuliko fedheha.

Mungu awalaze mahali pema wazee wetu wale.
Mungu aepushie mbali tusijepata tena viongozi kama Mkapa na Magufuli.
 
Mwenyenzi Mungu naomba Kama kuna mtoto anaenda kuzaliwa mwenye roho mbaya, wivu,katili,mnafiki mithili ya yule uliyemkatilia mbali Kwa hasira yako, basi Mungu nakusihi mtoto huyo asizaliwe kamwe Katika Nchi hii ni bora ukamchukua ktk tumbo la mama yake ili Amani yako idumu katikati ya wana wa Nchi hii.Tuseme Ameeen!
Babu ulikuwa na cheti feki nini!
 
Hawa fesibukers na instagramaz wana shida sana na huyu wanayemuita babayao, hawana habari na yanayoendelea kwenye utawala wa nchi. ila sio kosa lao walikuwa wanaoneshwa upande mmoja tu, huu mwingine walikuwa hawaujui.
 
Back
Top Bottom