Itachukua miaka mingi mno kuja kuwapata ma Rais wa kariba ya Mkapa na Magufuli

Mkapa ni nafuu na Rais bora mara mia moja ya JPM.
JPM hakuwa na maarifa au uamuzi wenye busara.. Fikiria suala la korosho kupeleka jeshi akifikiri Serikali inaweza kufanya biashara..
JPM alifikiri kuwa na hela basi unahusika na wizi.. Alihusudu uhujumu uchumi na vyombo vya dola kama nguzo kuu ya kutisha watu na kutawala..
JPM hakupenda demokrasia na alikuwa akitaka kila mtu apende anachofikiria yeye.. Hata kama sio sahihi.. Mfano daraja la Tanzanite.. Pembeni ya Salender.. Ni aibu kufikiri litaondoa foleni
 
Duuh!
Mkuu, wengi hawajui kwa sabb jiwe alinyonga uhuru wa habari🙄
 
Reactions: BAK
Inawezekana ukaongoza nchi bila kuua yeyote!kwa kuwekeza kwenye saikolojia na sio chuma!hv kulikuwa na umuhimu gani hasa hao jamaa wawili kuua watu zanzibar???Ina maana hata kumuingiza mamluki wa ccm ndani ya Cuf na kushinda uchaguzi kwa kucheza na hisia za watu na akili zao???Hata 2015 mchezo ungechezwa vile vile kucheza akili zetu!!KWANI JPM ANGEPITA KUPITIA CHADEMA LEO WATU WASINGEICHUKIA CHADEMA NA KUITAKA CCM IRUDI MADARAKANI???TATIZO TUNAWEKEZA KWENYE UPUMBAVU NDIO MAANA DAMU ZINAMWAGIKA KILA CHAGUZI!!!
 
nilikua
nilikua nasema siku zote ,kuna kizazi cha kikoloni kinatakiwa kiishe. kizazi kile ukiwa nae kalibu hata siku ukivaa vizuri kuliko yeye anachukia anaweza hata kukufukuza kazi.
hivyo acha kizazi kile kiishe ,bado wachache na ote wataisha.
 
Magufuli unaemsifia huenda wewe ulikuwa mnufaika wa udikteta wake.
Alibambikia watu kesi,utawala wake ulifunga minyororo Bunge,Magufuli alitukosea sana Watanzania
 
Huwezi kumfananisha Magufuli na Mkapa, Magufuli anafanana na Idd Amin Dada

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Yaan una wasifu watu wasiojua kutenganisha baya na nzuri aisee! Kwel watz tunashida saana!
 
Mkuu,wanaompenda Magufuli ni wagonjwa wa akili....Hakuna intellectual wa kumpenda katili yule

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Hawakuwa viongozi wazuri kwa karne hiii,walikuwa na hasira sana ,hawakutaka kukosolewa wakwende huko,wanashindwa hats na mtoto Mdogo Uhuru mwigai,wakufe tu.
 
Mkapa sawa... Ila type ya magufuli ni wengi mno. Na tusiwakubali.
 
Ni jambazi muuaji from your perspective, ni kiongozi bora from other folks perspective, kwa iyo usishupaze sana, ashakufa.
Yeah labda kwa perspectives za wasiofikiria mambo kwa kina!
 
Ni jambazi muuaji from your perspective, ni kiongozi bora from other folks perspective, kwa iyo usishupaze sana, ashakufa.
Eti ni kiongozi Bora from other perspective, aisee...si ajabu unachoongea kwa sababu hata shetani ana supporters wengi sana,ije kuwa Magufuli?

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Mwenyenzi Mungu naomba Kama kuna mtoto anaenda kuzaliwa mwenye roho mbaya, wivu,katili,mnafiki mithili ya yule uliyemkatilia mbali Kwa hasira yako, basi Mungu nakusihi mtoto huyo asizaliwe kamwe Katika Nchi hii ni bora ukamchukua ktk tumbo la mama yake ili Amani yako idumu katikati ya wana wa Nchi hii.Tuseme Ameeen!
 
Magufuli alikuwa dikteta mwenye roho mbaya
 
Aisee....JPM was a useless President ever, nilikuwaga najiuliza several times,huyu mtu twende naye hadi 2025? MUNGU hakika ni mkubwa,kamvuna mapema ili kuwaponya Watanzania na Balaa kubwa zaidi.
Alikuwa akiwaza kuua,kutesa,kuteka na kupoteza kila mtu aliyemkosoa,aliamini wapinzani hawana haki ya kuishi.
Kiongozi Kama huyo aendelee kuishi ili iweje?

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Usihofu yupo kijana ameosha uwezo,nafikiri umenielewa.
Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Huu ni ujinga..

Inakuwaje Kiongozi awe mzuri huku hajui athari positive na negative za maamuzi yake?. Jiwe alale mahali pema lakini nadhani hakuna na maarifa mapana na pia washauri wake ambao ilibidi wa-stepup kuziba hilo pengo wakawa na wenyewe yes sir,yes sir...mfano ni ishu tu ile ya koroshow..what a show was that??!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…