Itachukua muda Tanzania kupata mchezaji kama Feitoto

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Habari za muda huu wapendwa

Mimi kama shabikia wa azam na mpenzi wa Mpira hivi kama nchi tutakuja kupata football baller kama FEITOTO kweli?

Anyway huku comment chuki utaonekana ni mwana yanga mwehu

Huyu mtu anacheza hata MADRID ni mzuri kuliko Valverde na Arder Guler combined
 
Attachments

  • 20241121_102514.jpg
    20241121_102514.jpg
    542.2 KB · Views: 2
  • 20241121_102522.jpg
    20241121_102522.jpg
    419.8 KB · Views: 1
Takwimu zake zinafanya aonekane wa kawaida.
Wakati msuva au Samata wakiwa katika ubora wao walikua hawa shikiki na moto wa kuotea mbali.
Fei toto msimu ulio pita alikua na takwimu Bora ila anakosa mwendelezo kama wenzake na umri unasogea.
Itoshe kusema ni mchezaji mwenye kitu Fulani ila kimekosa msukumo mkubwa wa kumpeleka Daraja la wenzake Samata na Msuva.
 
Wewe ni mwehu kiungo umfananishe ufungaji na strikers mkuu

Ya msimu Jana alifanya kama extras sio majukumu yake
 
Fei ni mchezaji mzuri
Ila amechagua njia ya gizani huko Azam fc-
 
Habari za muda huu wapendwa

Mimi kama shabikia wa azam na mpenzi wa Mpira hivi kama nchi tutakuja kupata football baller kama FEITOTO kweli?

Anyway huku comment chuki utaonekana ni mwana yanga mwehu

Huyu mtu anacheza hata MADRID ni mzuri kuliko Valverde na Arder Guler combined
Pale tutapoacha ku hype michezo na kuingiza siasa.
 
Habari za muda huu wapendwa

Mimi kama shabikia wa azam na mpenzi wa Mpira hivi kama nchi tutakuja kupata football baller kama FEITOTO kweli?

Anyway huku comment chuki utaonekana ni mwana yanga mwehu

Huyu mtu anacheza hata MADRID ni mzuri kuliko Valverde na Arder Guler combined
Watu wengi humu hawatakuelewa, ila hatujawahi kuwa na mchezaji kama Fei toto. Mpira ni pieces ili upate formation ni mpaka uunganishe pieces zote, tuna mastriker na mawinga kibao nchi hii miaka na miaka ila kupata playmaker wa caliber hii kwa hizi nchi zetu ni kazi.
 
Wewe ni mwehu kiungo umfananishe ufungaji na strikers mkuu

Ya msimu Jana alifanya kama extras sio majukumu yake
Kwaiyo Kiungo hairuhusiwi kufunga!! Tangu Feisal ameanza kucheza nafasi ya kiungo mpaka Sasa mbona Haijawahi kuwa na takwimu Bora kuliko wakati anacheza kama False 9!!

Acha umbumbumbu, Feisal anajitahidi kusogea kwenye ubora ila kwenye kiungo mshambuliaji Bado takwimu Zina mkataa kuliko msimu uliopita alipo cheza kama mshambuliaji msaidizi.
 
Back
Top Bottom