Itachukua muda Tanzania kupata mchezaji kama Feitoto

Itachukua muda Tanzania kupata mchezaji kama Feitoto

Kwa Tanzania labda tujiulize kama tutapata tena mchezaji kama Hussein Amani Masha... (Kwa ile kucheza kwake kwa madaha na kupiga mapande yaliyoshiba) huku ametulia wala hana papara wala haraka) Yaani anapiga Tackling kama Viera na Mapande kama Andrea Pirlo
 
Kwaiyo Kiungo hairuhusiwi kufunga!! Tangu Feisal ameanza kucheza nafasi ya kiungo mpaka Sasa mbona Haijawahi kuwa na takwimu Bora kuliko wakati anacheza kama False 9!!

Acha umbumbumbu, Feisal anajitahidi kusogea kwenye ubora ila kwenye kiungo mshambuliaji Bado takwimu Zina mkataa kuliko msimu uliopita alipo cheza kama mshambuliaji msaidizi.
Lini alicheza false 9?
 
Unaweza weka takwimu za zidane akiwa kiungo?,
Unaweza cheka
 
Kwa Tanzania labda tujiulize kama tutapata tena mchezaji kama Hussein Amani Masha... (Kwa ile kucheza kwake kwa madaha na kupiga mapande yaliyoshiba) huku ametulia wala hana papara wala haraka) Yaani anapiga Tackling kama Viera na Mapande kama Andrea Pirlo
Mbona enzi zake stars haikuwa ata ikienda afcon?
 
Wazenji hawadanganyi umri kama sisi mijitu ya bara
Kuke systerm iko centralised from grass root kule ni ulaya flan hata passprt ni siku moja tu kwan kila kitu kutoka baba kipo documented mda ameongeq kweli kitu ambacho hapa bongo itachukua miaka 100 kuifikia zenj
 
Mbona enzi zake stars haikuwa ata ikienda afcon?
Hivi unadhani kwenda AFCON ni kwamba kiwango chetu kimepanda au AFCON imekuwa rahisi ?
  • Moja zamani timu zilikuwa chache
  • Mbili mpira wa Afrika imeshuka sana wachezaji wengi wanaocheza nje hawajali tena representing their countries wanaona unakuja huku unaumia ni bora kubakia huko wanapopata pesa nyingi, wakija huku wanacheza sub par
  • Tatu timu sio mtu ni watu..., ila ndio hivyo nakwambia kwa uchezaji wake ulikuwa tofauti (tackles kama viera na pasi kama Pirlo).., Ndio hivyo ni kama naweza kusema enzi zile za kupiga kiatu ni ngumu kupata mchezaji kama Samli Ayoub Beki Mstaarabu..., yaani anamaliza game jezi bado safi haina hata doa....
 
Una ugonjwa wa kusifia vya kale
Oldstupidysyndrome
 
Dah!! Ilo ni somo, Nenda kajifunze kwanza false 9 anachezaje ndio utanielewa. Na hivyo ndivyo akicheza Feisal msimu uliopita.
Alafu number 10 alicheza nani;?
 
Unaweza weka takwimu za zidane akiwa kiungo?,
Unaweza cheka
Kitu ambacho huelewi namba 8/10 / false 9 ni watu wanao cheza kitu kile kile kwakua wote wanacheza kama viungo washambuliaji yaani Wana pika shambulizi kwa pamoja na wachezaji wengine na wanao uwezo wa kufunga wao wenyewe.

Sio wachezaji wanao simama tu pale mbele kusubiri Service za wengine ila wanajumuika kutengeneza shambulizi na wengine , mfano False 9 yeye ana Toka katika eneo lake la asili anakuja kucheza Chini kidogo na kuruhusu wachezaji wengine waingie Lile eneo lake na kushambulia, ni Hali ya kuichanganya diffence ya mpinzani na yeye hurudi katika eneo lake kwa kishtukiza na kufanya jambo , usichanganyikiwe na izo namba wanazo pewa.
 
Una ugonjwa wa kusifia vya kale
Oldstupidysyndrome
Unapewa facts unasema nasifia..., Hivi kabla hatujaingia AFCON miaka ya hivi karibuni kulikuwa na timu ngapi na tulivyoingia timu zilikuwa ngapi ?

Kwa taarifa yako kulikuwa kuna hatua za makundi mnakuwa seeded na hapo mnaoshinda kwenye makundi ndio mnakutana na Giants..., na kipindi kile tulikuwa na bahati mbaya ya kukutana na waarabu..., tena waarabu hao sio wa sasa kina Salah wanacheza Ulaya bali kipindi cha kina Hossam Hassan wanacheza ligi ya nyumbani hawataki kwenda ulaya....

Au unakutana na K K Eleven (The Mighty Zambians) kina Kalusha Bwalya au ukikoswa unakuta na wenzake na kina Abeid Pele..., kina Kumar.... wa kule Kumasi...
 
Nimemshuhudia Nico Njohole, Ramadhani Lenny, Amani Masha, Thobias Gaga, Athuman China walicheza wengine nimewaacha ukiondoka Nico hao wengine sijui Nini kiliwashinda kwenda ulaya
 
Takwimu zake zinafanya aonekane wa kawaida.
Wakati msuva au Samata wakiwa katika ubora wao walikua hawa shikiki na moto wa kuotea mbali.
Fei toto msimu ulio pita alikua na takwimu Bora ila anakosa mwendelezo kama wenzake na umri unasogea.
Itoshe kusema ni mchezaji mwenye kitu Fulani ila kimekosa msukumo mkubwa wa kumpeleka Daraja la wenzake Samata na Msuva.
Azam haina motivation alitakiwa acheze michuano ya cafcc au cafccl abusti uwezo wake
 
Nimemshuhudia Nico Njohole, Ramadhani Lenny, Amani Masha, Thobias Gaga, Athuman China walicheza wengine nimewaacha ukiondoka Nico hao wengine sijui Nini kiliwashinda kwenda ulaya
Ukoo wa Njohole ulikuwa Moto...., Pia alikuwepo Deo Njohole OCD..., Na huyo ni Hamis Thobias Gaga (Gagarino)..,

Unajua ni mfumo; moja ile exposure wachezaji wengi wa huku walikuwa wakitoka sana ni Uarabuni wachezaji wa West Africa sababu ya connection ndio waliweza kwenda Ulaya..., Pili kutokana na mfumo wa Elimu na kipindi kile wazazi ukicheza mpira wanaona umelost unajikuta mtu anaconcetrate kwenye vitabu kuja kwenda Ulaya inabidi ashushe umri awe marketable..., ndio hao kina Kanu na Obafemi Martins wazee wanashusha miaka takriban kumi au zaidi (Kwahio wenzetu west zile connection zilikuwa zinawasaidia sana) pia mfumo wa uchezaji huku zamani kuna watu walikuwa na anao anao sana wakati sehemu kama England ni pasi na kuendelea vilevile wageni (foreigners) wamezidi kuchukuliwa sasa kuliko hapo kale
 
Hii taarifa ina ukweli wowote?
 
Attachments

  • IMG-20241121-WA0054.jpg
    IMG-20241121-WA0054.jpg
    32.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom