Wewe ni mwehu kiungo umfananishe ufungaji na strikers mkuuTakwimu zake zinafanya aonekane wa kawaida.
Wakati msuva au Samata wakiwa katika ubora wao walikua hawa shikiki na moto wa kuotea mbali.
Fei toto msimu ulio pita alikua na takwimu Bora ila anakosa mwendelezo kama wenzake na umri unasogea.
Itoshe kusema ni mchezaji mwenye kitu Fulani ila kimekosa msukumo mkubwa wa kumpeleka Daraja la wenzake Samata na Msuva.
Hawavumi lakini wapo.ITACHUKUA MDA sana
Pale tutapoacha ku hype michezo na kuingiza siasa.Habari za muda huu wapendwa
Mimi kama shabikia wa azam na mpenzi wa Mpira hivi kama nchi tutakuja kupata football baller kama FEITOTO kweli?
Anyway huku comment chuki utaonekana ni mwana yanga mwehu
Huyu mtu anacheza hata MADRID ni mzuri kuliko Valverde na Arder Guler combined
🤣🤣🤣Huyu mtu anacheza hata MADRID ni mzuri kuliko Valverde na Arder Guler combined
Watu wengi humu hawatakuelewa, ila hatujawahi kuwa na mchezaji kama Fei toto. Mpira ni pieces ili upate formation ni mpaka uunganishe pieces zote, tuna mastriker na mawinga kibao nchi hii miaka na miaka ila kupata playmaker wa caliber hii kwa hizi nchi zetu ni kazi.Habari za muda huu wapendwa
Mimi kama shabikia wa azam na mpenzi wa Mpira hivi kama nchi tutakuja kupata football baller kama FEITOTO kweli?
Anyway huku comment chuki utaonekana ni mwana yanga mwehu
Huyu mtu anacheza hata MADRID ni mzuri kuliko Valverde na Arder Guler combined
Kwaiyo Kiungo hairuhusiwi kufunga!! Tangu Feisal ameanza kucheza nafasi ya kiungo mpaka Sasa mbona Haijawahi kuwa na takwimu Bora kuliko wakati anacheza kama False 9!!Wewe ni mwehu kiungo umfananishe ufungaji na strikers mkuu
Ya msimu Jana alifanya kama extras sio majukumu yake