Lini alicheza false 9?Kwaiyo Kiungo hairuhusiwi kufunga!! Tangu Feisal ameanza kucheza nafasi ya kiungo mpaka Sasa mbona Haijawahi kuwa na takwimu Bora kuliko wakati anacheza kama False 9!!
Acha umbumbumbu, Feisal anajitahidi kusogea kwenye ubora ila kwenye kiungo mshambuliaji Bado takwimu Zina mkataa kuliko msimu uliopita alipo cheza kama mshambuliaji msaidizi.
Unaweza weka takwimu za zidane akiwa kiungo?,Kwaiyo Kiungo hairuhusiwi kufunga!! Tangu Feisal ameanza kucheza nafasi ya kiungo mpaka Sasa mbona Haijawahi kuwa na takwimu Bora kuliko wakati anacheza kama False 9!!
Acha umbumbumbu, Feisal anajitahidi kusogea kwenye ubora ila kwenye kiungo mshambuliaji Bado takwimu Zina mkataa kuliko msimu uliopita alipo cheza kama mshambuliaji msaidizi.
Mbona enzi zake stars haikuwa ata ikienda afcon?Kwa Tanzania labda tujiulize kama tutapata tena mchezaji kama Hussein Amani Masha... (Kwa ile kucheza kwake kwa madaha na kupiga mapande yaliyoshiba) huku ametulia wala hana papara wala haraka) Yaani anapiga Tackling kama Viera na Mapande kama Andrea Pirlo
Kuke systerm iko centralised from grass root kule ni ulaya flan hata passprt ni siku moja tu kwan kila kitu kutoka baba kipo documented mda ameongeq kweli kitu ambacho hapa bongo itachukua miaka 100 kuifikia zenjWazenji hawadanganyi umri kama sisi mijitu ya bara
Hivi unadhani kwenda AFCON ni kwamba kiwango chetu kimepanda au AFCON imekuwa rahisi ?Mbona enzi zake stars haikuwa ata ikienda afcon?
Una ugonjwa wa kusifia vya kaleHivi unadhani kwenda AFCON ni kwamba kiwango chetu kimepanda au AFCON imekuwa rahisi ?
- Moja zamani timu zilikuwa chache
- Mbili mpira wa Afrika imeshuka sana wachezaji wengi wanaocheza nje hawajali tena representing their countries wanaona unakuja huku unaumia ni bora kubakia huko wanapopata pesa nyingi, wakija huku wanacheza sub par
- Tatu timu sio mtu ni watu..., ila ndio hivyo nakwambia kwa uchezaji wake ulikuwa tofauti (tackles kama viera na pasi kama Pirlo).., Ndio hivyo ni kama naweza kusema enzi zile za kupiga kiatu ni ngumu kupata mchezaji kama Samli Ayoub Beki Mstaarabu..., yaani anamaliza game jezi bado safi haina hata doa....
Dah!! Ilo ni somo, Nenda kajifunze kwanza false 9 anachezaje ndio utanielewa. Na hivyo ndivyo akicheza Feisal msimu uliopita.Lini alicheza false 9?
Kitu ambacho huelewi namba 8/10 / false 9 ni watu wanao cheza kitu kile kile kwakua wote wanacheza kama viungo washambuliaji yaani Wana pika shambulizi kwa pamoja na wachezaji wengine na wanao uwezo wa kufunga wao wenyewe.Unaweza weka takwimu za zidane akiwa kiungo?,
Unaweza cheka
Unapewa facts unasema nasifia..., Hivi kabla hatujaingia AFCON miaka ya hivi karibuni kulikuwa na timu ngapi na tulivyoingia timu zilikuwa ngapi ?Una ugonjwa wa kusifia vya kale
Oldstupidysyndrome
Azam haina motivation alitakiwa acheze michuano ya cafcc au cafccl abusti uwezo wakeTakwimu zake zinafanya aonekane wa kawaida.
Wakati msuva au Samata wakiwa katika ubora wao walikua hawa shikiki na moto wa kuotea mbali.
Fei toto msimu ulio pita alikua na takwimu Bora ila anakosa mwendelezo kama wenzake na umri unasogea.
Itoshe kusema ni mchezaji mwenye kitu Fulani ila kimekosa msukumo mkubwa wa kumpeleka Daraja la wenzake Samata na Msuva.
Ukoo wa Njohole ulikuwa Moto...., Pia alikuwepo Deo Njohole OCD..., Na huyo ni Hamis Thobias Gaga (Gagarino)..,Nimemshuhudia Nico Njohole, Ramadhani Lenny, Amani Masha, Thobias Gaga, Athuman China walicheza wengine nimewaacha ukiondoka Nico hao wengine sijui Nini kiliwashinda kwenda ulaya
Alikuwepo... Old is gold.Una ugonjwa wa kusifia vya kale
Oldstupidysyndrome