Itachukua muda watu kugundua maafa ya wapiganaji huko Msumbiji baada ya kuunda vioja zubaishi vingi nchini

Kuna watu wanafanya kazi kubwa sana hii nchi iendelee kuwa salama
 
Kuleta taharuki kutasaidia nini? Waache wahusika wawashughulikie kimya kimya, maneno yawe 0 ila matendo yawe 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…