Itafika wakati wataanza kuuana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya madaraka

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Itafika wakati wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe na kutoana roho, kwasababu wamechagua njia ovu kila mmoja atataka yeye madaraka. kwa njia zao za kishetani.

Huku ndipo tunapoelekea hawatashikamana siku zote kama mnavyowaona hao wakuu wa majeshi na mafisadi wataanza kuwindana wenyewe katiba ya nchi haikupaswa kupuuzwa.
 
hata kikwete anajidanya kuwa samia atampa mwanae urais 2030 wakati bimkubwa na mkwe wake anayeutaka urais pia mwanae ambaye amejipa percentage nyingi kwenye miradi mingi na mapori yaliuzwa uarabuni na lazima hao madili wayalinde wao kama familia
 
Shetani hana rafiki.
Wakimaliza wapinzani wataanza na wenyewe. Ukila nyama ya mtu huwezi kuacha mpaka uache.
First it was Polepole
Then you know
Then Mwambe
Then the teachers daughter
Then oranges
Then Betina
Then ngwalangwala
Then list is endless
 
Itafika wakati wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe na kutoana roho, kwasababu wamechagua njia ovu kila mmoja atataka yeye madaraka. kwa njia zao za kishetani.

Huku ndipo tunapoelekea hawatashikamana siku zote kama mnavyowaona hao wakuu wa majeshi na mafisadi wataanza kuwindana wenyewe katiba ya nchi haikupaswa kupuuzwa.
Waanze kuuana au waendelee kuuana !!!! ?????. Refer , Magufuli, Kijazi, Mfugale, Lwajabe, Ndugai, Mhagama, Mafuru,

Masikitiko all of them from one religion.
 
Itafika wakati wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe na kutoana roho, kwasababu wamechagua njia ovu kila mmoja atataka yeye madaraka. kwa njia zao za kishetani.

Huku ndipo tunapoelekea hawatashikamana siku zote kama mnavyowaona hao wakuu wa majeshi na mafisadi wataanza kuwindana wenyewe katiba ya nchi haikupaswa kupuuzwa.
Tumeingia kile kipindi cha Roman empire kilivyopitia, walikufa viongozi wengi kwa mfululizo kwa kuuana kuna wazuri kma akina Julius caesar na wabaya kama Caligula.
 
Itafika wakati wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe na kutoana roho, kwasababu wamechagua njia ovu kila mmoja atataka yeye madaraka. kwa njia zao za kishetani.

Huku ndipo tunapoelekea hawatashikamana siku zote kama mnavyowaona hao wakuu wa majeshi na mafisadi wataanza kuwindana wenyewe katiba ya nchi haikupaswa kupuuzwa.
Mbona tayari wameshaanza na kuna watu wako kwenye waiting list ya kujenistiwa, Samuya ni muuaji sana .
 
Itafika wakati wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe na kutoana roho, kwasababu wamechagua njia ovu kila mmoja atataka yeye madaraka. kwa njia zao za kishetani.

Huku ndipo tunapoelekea hawatashikamana siku zote kama mnavyowaona hao wakuu wa majeshi na mafisadi wataanza kuwindana wenyewe katiba ya nchi haikupaswa kupuuzwa.
Huoni tunavyouana tangu Magufuli hadi leo.
Ukiwekewa orodha tangu Magufuli mpaka juzi Samia 29/10/2025 ni zaidi ya mauaji ya vita Ukraine na Russia.

Labda huna masikio na macho.
 
Back
Top Bottom