Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Tayari mmeshafika.Mnahangika Sana nyie vibaraka wa mebeberu hatutafika huko
Tayari mmeshafika.
Au wewe ni mkimbizi?.
Waanze kuuana au waendelee kuuana !!!! ?????. Refer , Magufuli, Kijazi, Mfugale, Lwajabe, Ndugai, Mhagama, Mafuru,Itafika wakati wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe na kutoana roho, kwasababu wamechagua njia ovu kila mmoja atataka yeye madaraka. kwa njia zao za kishetani.
Huku ndipo tunapoelekea hawatashikamana siku zote kama mnavyowaona hao wakuu wa majeshi na mafisadi wataanza kuwindana wenyewe katiba ya nchi haikupaswa kupuuzwa.
Tumeingia kile kipindi cha Roman empire kilivyopitia, walikufa viongozi wengi kwa mfululizo kwa kuuana kuna wazuri kma akina Julius caesar na wabaya kama Caligula.Itafika wakati wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe na kutoana roho, kwasababu wamechagua njia ovu kila mmoja atataka yeye madaraka. kwa njia zao za kishetani.
Huku ndipo tunapoelekea hawatashikamana siku zote kama mnavyowaona hao wakuu wa majeshi na mafisadi wataanza kuwindana wenyewe katiba ya nchi haikupaswa kupuuzwa.
Mbona tayari wameshaanza na kuna watu wako kwenye waiting list ya kujenistiwa, Samuya ni muuaji sana .Itafika wakati wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe na kutoana roho, kwasababu wamechagua njia ovu kila mmoja atataka yeye madaraka. kwa njia zao za kishetani.
Huku ndipo tunapoelekea hawatashikamana siku zote kama mnavyowaona hao wakuu wa majeshi na mafisadi wataanza kuwindana wenyewe katiba ya nchi haikupaswa kupuuzwa.
Mabeberu wanatoa hela kwa serikali, miradi yenu na mikopo kama anavyohaha sasa Kombo huko njeRudisheni hela za mabeberu mlizokula
Huoni tunavyouana tangu Magufuli hadi leo.Itafika wakati wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe na kutoana roho, kwasababu wamechagua njia ovu kila mmoja atataka yeye madaraka. kwa njia zao za kishetani.
Huku ndipo tunapoelekea hawatashikamana siku zote kama mnavyowaona hao wakuu wa majeshi na mafisadi wataanza kuwindana wenyewe katiba ya nchi haikupaswa kupuuzwa.