Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yule ni mkazi wa iringa na inasemekana kazaliwa huko mkuuSinga singa si ni mkenya ama?[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nyie ndo mmemfundisha ukora, ila ngoja tumpe adabu!Mzawa wa Iringa yule, soma historia yake, kaja Kenya kutuzuga tu lakini mumemzaa nyie na kumlea hivyo mumalizane naye huko huko.....hehehehe!!!
We are proud of our nameswanahesabika sana tofauti na sisi ambapo majina ya kiarabu na kimagharib yameshakuwa kwenye tamaduni mpya za kiafrika
huku bongo sijajua kwa kenya, ukimwita mwanao hata jina la kawaida kama Ngekewa ambayo humaanisha bahati, atachekwa hadi kuchukia jina lake tofauti na wenzetu wa asia au wazulu mbali na kuishi na makaburu
Nyie ndo mmemfundisha ukora, ila ngoja tumpe adabu!
Alikuja kenya mkamfunza tabia yeny ya kukwapua ndo akaleta ujinga huku lakini akabainika!Kha! ina maana hayo mahela alikua anakwapua mwenyewe, hamkua mnatafuna naye huko?? Nyie bana majanga, nakumbuka kipindi hicho ndio tulikua tunaskia kauli zenu za 'milioni kumi hela za mboga','nyoka mwenye makengeza'. Nchi yenu ina shows nyingi sana za Bongo movie, mara vichwa vya treni vimeibuka ghafla bandarini, mara makinikia mara kile.
Naona na mimi nije ninyakue changu mapema, mnipe ramani ya kule migodini kama bado hayajabaki mahandaki, niliskia hamtobadilisha mikataba ya wale bado wapo wanachuma na kujichukulia, mtabadilisha tu kwa wale watakuja upya, hapo sina bahati.
Hapo ndo napokereka na wakenya kujifanya mko kamili na sahihi kwa kila kitu, nenda mombasa ukatafute majina yao ya asili achana na nairobiWe are proud of our names
Raila sio jina la kizungu wala odinga
Uhuru pia Kenyatta
Musalia or Mudavadi
Mutahi ngunyi
Kalonzo Musyoka
Wavinya Ndeti
Mm hapa natumia Majina zote indegineous naweka samuel S. Denotation.....
Wakenya wanapenda jina zao za kiafrika
Historian ya Kenya tunaijua na wazungu wanaijua inaitwa the might slam ni Kenya hivyo naunga mkono hoja kibera ifundishwe kama somoHistoria ya Kenya na lugha ya Kiswahili zitafunzwa kwenye shule za kimataifa Kenya na itakua sharti.
Hivyo hata watoto wa mabalozi itabidi wafunzwe tamaduni zetu.
---------------------------------------------------
International schools in Kenya are set to start teaching Kiswahili and Kenyan history effective September, 2017. The introduction of the two subjects follows a government directive stipulating that international schools should incorporate 8-4-4 basic education in their curriculum.
Speaking during the 20th Annual Presentation at Braeside High School, Education Cabinet Secretary, Dr. Fred Matiang’i, said students will be taught the two subjects up to Grade 9, which is the equivalent of form two.
Dr. Matiang’i added that International Schools admit many children of Kenyan descent, and it is essential for them to be acquainted with their history and also Kiswahili being an official language of communication.
Further, Dr. Matiang’i said that international schools must ensure that their teachers are duly registered and accredited by the Teachers Service Commission (TSC).
“We want to ensure that all schools have teachers who have been well trained to handle children,” Dr. Matiang’i.
He promised that government will simplify the process of approving expatriate teachers once applications are made.
https://citizentv.co.ke/news/intern...ications&utm_campaign=onesignal_notifications
Hii hiiHistorian ya Kenya tunaijua na wazungu wanaijua inaitwa the might slam ni Kenya hivyo naunga mkono hoja kibera ifundishwe kama somo
Kweli kabisa..the best of all ni Uhuru Kenyata, jina linabeba asilimia 100% za ukenya.. Ni raha hata kutamka..Mkuu Uhuru Kenyatta muweke hapo kwenye orodha![emoji23][emoji23][emoji23]