Itakua sharti kwa 'international schools' kufunza Kiswahili na historia ya Kenya

Singa singa si ni mkenya ama?[emoji13] [emoji13] [emoji13]

Mzawa wa Iringa yule, soma historia yake, kaja Kenya kutuzuga tu lakini mumemzaa nyie na kumlea hivyo mumalizane naye huko huko.....hehehehe!!!
 
Mzawa wa Iringa yule, soma historia yake, kaja Kenya kutuzuga tu lakini mumemzaa nyie na kumlea hivyo mumalizane naye huko huko.....hehehehe!!!
Nyie ndo mmemfundisha ukora, ila ngoja tumpe adabu!
 
We are proud of our names

Raila sio jina la kizungu wala odinga

Uhuru pia Kenyatta

Musalia or Mudavadi

Mutahi ngunyi

Kalonzo Musyoka

Wavinya Ndeti


Mm hapa natumia Majina zote indegineous naweka samuel S. Denotation.....

Wakenya wanapenda jina zao za kiafrika
 
Nyie ndo mmemfundisha ukora, ila ngoja tumpe adabu!

Kha! ina maana hayo mahela alikua anakwapua mwenyewe, hamkua mnatafuna naye huko?? Nyie bana majanga, nakumbuka kipindi hicho ndio tulikua tunaskia kauli zenu za 'milioni kumi hela za mboga','nyoka mwenye makengeza'. Nchi yenu ina shows nyingi sana za Bongo movie, mara vichwa vya treni vimeibuka ghafla bandarini, mara makinikia mara kile.

Naona na mimi nije ninyakue changu mapema, mnipe ramani ya kule migodini kama bado hayajabaki mahandaki, niliskia hamtobadilisha mikataba ya wale bado wapo wanachuma na kujichukulia, mtabadilisha tu kwa wale watakuja upya, hapo sina bahati.
 
Alikuja kenya mkamfunza tabia yeny ya kukwapua ndo akaleta ujinga huku lakini akabainika!

Hao wenye kauli za mboga ni ally wake nao wako kwenye orodha zinamalizika taratibu wakathibitishe hiyo hela kama walinunua mboga ama la!

Hatuna mchezo tena na watu wa namna hyo!
 
Hapo ndo napokereka na wakenya kujifanya mko kamili na sahihi kwa kila kitu, nenda mombasa ukatafute majina yao ya asili achana na nairobi
 
Historian ya Kenya tunaijua na wazungu wanaijua inaitwa the might slam ni Kenya hivyo naunga mkono hoja kibera ifundishwe kama somo
 
Mkuu Uhuru Kenyatta muweke hapo kwenye orodha![emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa..the best of all ni Uhuru Kenyata, jina linabeba asilimia 100% za ukenya.. Ni raha hata kutamka..
Ukweli nimezaliwa nikakuta wazazi wangu wananiita hivi, ila nitampa mwanangu jina bomba la kikwetukwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…