kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Masaa yanakaribia, Itakuaje Iran wakitumia makombora ya hypersonic kumbuka lile Kombora sifa yake huwa halitunguliki yana Speed kuliko sauti.
Maana nimeona Israel anavyohaha kuweka raia kwenye mahandaki, leo ni siku ya nne watu wamelala kwenye mahandaki kama Panya!!
Jamaa wanahaha kuactivate air defence system zao ni hofu imetawala kila mahali huko Israel silaha zinahamishwahamishwa kila saa kuhofia makombora na moto mkalo kutokea Iran
Iran akiamua kutumia hypersonic Israel itapokea uharibifu na hasara kubwa mno kuwahi kutokea!!
Hakika kisasi cha Iran hakijawah muacha mtu salama....Waisrael waendelee kujificha ila Wairan wanakuja
View attachment 2954373