Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Mungu atuepushie mbali na vita.Yale masaa 48 ya waarabu wetu kulipua bado tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu atuepushie mbali na vita.Yale masaa 48 ya waarabu wetu kulipua bado tu?
Masaa 48 hajatoa iran alisema USA kwa taarifa za intelligence zao sijui wametoa wapi na nyinyi ndio mnatuambia hata Russia alitoa saa 72 kuifuta ukraine hila ukitafuta source ya taarifa hupati uongo ndio sehemu ya maisha yenuYale masaa 48 ya waarabu wetu kulipua bado tu?
Kwaiyo mkuu ulitaka hamas wakae sehem za wazi?Vita ya Gaza ni complicated sababu Hamas wanajificha kwenye mashimo wanashambulia kwa kustukiza na wanaweka wamama na watoto kama ngao wanakaa kwenye majengo public na raia ukiwapiga lazima utaua raia ila kwa Iran ikipigana na Israel itakua open war kabisa Kambi za kesho za Iran ziko open kabisa zinajulikana itampa isarel muda mfupi kupiga targets zake
Kwann wajifiche nyuma ya raia Yan wanajichanganya na raia Ili ukipiga unaua na watoto ionekane issue ya genocide wavae uniform za jeshi wapigane kiume hii vita ya Gaza bila Dunia kuingilia kati ni kwel Israel atapiga kila kitu maana Hana muda wa kuchambua nani sie nani ndieKwaiyo mkuu ulitaka hamas wakae sehem za wazi?
🤣🤣 Iran hebu tumia hizo hypersonic anasubiri nn ? Au saa 48 bado dunian kuna maajabu sanaMasaa yanakaribia, Itakuaje Iran wakitumia makombora ya hypersonic kumbuka lile Kombora sifa yake huwa halitunguliki yana Speed kuliko sauti.
Maana nimeona Israel anavyohaha kuweka raia kwenye mahandaki, leo ni siku ya nne watu wamelala kwenye mahandaki kama Panya!!
Jamaa wanahaha kuactivate air defence system zao ni hofu imetawala kila mahali huko Israel silaha zinahamishwahamishwa kila saa kuhofia makombora na moto mkalo kutokea Iran
Iran akiamua kutumia hypersonic Israel itapokea uharibifu na hasara kubwa mno kuwahi kutokea!!
Hakika kisasi cha Iran hakijawah muacha mtu salama....Waisrael waendelee kujificha ila Wairan wanakujaView attachment 2954372View attachment 2954373View attachment 2954374
Lakini Israel inaona ni haramu kwa Hamas kuwa na maandakiThread Imejaa Mahaba Kama Ndoa Ya Mke Mmoja
Asili Ya Vita Kila Mmoja Lazima Ajilinde Kwa Namna Anavyojua
Mahandaki Kwa Wenzetu Ni Sehemu Ambazo Ni Muhimu Na Zipo Kwa Matumizi Mbalimbali
Mfano Tanzania Hapo Safu Za Milima Ya Usambara Nasi Tungekuwa Na Yetu
Likitokea Lolote Watu Wanaingia
Unatia huruma sana, yaani Israel ina jeshi bora kuliko NATO?? Yaani hata marekani ni cha mtoto kuliko Wahuni wa TelavivIran wawe makini , tujifunze kwa Ukraine na Sadam Husein, Rusia ametumia hayo makombora ya hypersonic huko Ukraine lakini wapi! Sadamu alisifiwa kuwa atampiga USA, leo yako wapi? Hizo hypersonic za Iran zinazidi Nyuklia ambayo Israel anayo? Iran anaweza kuovercome air force ya Israel? Vita ya Israel na Iran itachukua mwezi mmoja tu kazi itakuwa imeisha. Mtaanza kusema Israel inaua watoto nchini Iran. So tuombe vita isitokee, Iran anaweza kuchezea nchi za NATO na USA lakini siyo Israel, hao wana huruma lakini siyo myahudi ambaye alishanusa kifo kipindi cha Hitra.
Unajua hypersonic ni spidi gani, na kombora hilo linafanyake kazi au unasoma stori za propaganda tu.Masaa yanakaribia, Itakuaje Iran wakitumia makombora ya hypersonic kumbuka lile Kombora sifa yake huwa halitunguliki yana Speed kuliko sauti.
Maana nimeona Israel anavyohaha kuweka raia kwenye mahandaki, leo ni siku ya nne watu wamelala kwenye mahandaki kama Panya!!
Jamaa wanahaha kuactivate air defence system zao ni hofu imetawala kila mahali huko Israel silaha zinahamishwahamishwa kila saa kuhofia makombora na moto mkalo kutokea Iran
Iran akiamua kutumia hypersonic Israel itapokea uharibifu na hasara kubwa mno kuwahi kutokea!!
Hakika kisasi cha Iran hakijawah muacha mtu salama....Waisrael waendelee kujificha ila Wairan wanakujaView attachment 2954372View attachment 2954373View attachment 2954374
😂😂😂😂 Kaka hapa unaongelea ushabiki tu. Kama umepitia makala ya Operation Entebe ilofanywa na israel kuwaokoa mateka wao Uganda ambako ni thousands of Kms from Israel, imeshindwaje mpaka sasa kuokoa mateka wao ambao mpaka sasa hawajui wamefichwa wapi ndani ya Gaza ambayo wanashea mpaka??Iran wawe makini , tujifunze kwa Ukraine na Sadam Husein, Rusia ametumia hayo makombora ya hypersonic huko Ukraine lakini wapi! Sadamu alisifiwa kuwa atampiga USA, leo yako wapi? Hizo hypersonic za Iran zinazidi Nyuklia ambayo Israel anayo? Iran anaweza kuovercome air force ya Israel? Vita ya Israel na Iran itachukua mwezi mmoja tu kazi itakuwa imeisha. Mtaanza kusema Israel inaua watoto nchini Iran. So tuombe vita isitokee, Iran anaweza kuchezea nchi za NATO na USA lakini siyo Israel, hao wana huruma lakini siyo myahudi ambaye alishanusa kifo kipindi cha Hitra.

Hio vita na Hamas isingekuwa pressure ya kimataia, Israel ana uwezo wa kuifuta Gaza chini ya saa 24, lakini maafa yataluwa makubwa sana.Mahaba yasiyotumia akili ni mabaya sana. Yaani Israel hii hii inayoingia Miezi sita na Hamasa tena katika kaeneo kadogo kama kijiji ndo itumie mwezi moja tu kuisambaratisha Iran. Kwa Mzungu na Mwaarabu hawakutuacha salama.
Wacha weeeh!Anachokozwa ili ajae, awape watu sababu. Bora ajibu kwa kiwango cha kawaida tu.
😂😂😂Ninachohisi,Iran haitarusha kombora lao direct from their territory. Watatumia base nyingine kuhadaa dunia. Otherwise tuhesabu Teheran itakuwa majivu in a matter of a minute. Aliyekuwa anatafutwa kupitia vita ya Gaza ni Iran baba la ugaidi