Itakuaje Iran ikitumia kombora la Hypersonic?

Thread Imejaa Mahaba Kama Ndoa Ya Mke Mmoja
Asili Ya Vita Kila Mmoja Lazima Ajilinde Kwa Namna Anavyojua
Mahandaki Kwa Wenzetu Ni Sehemu Ambazo Ni Muhimu Na Zipo Kwa Matumizi Mbalimbali

Mfano Tanzania Hapo Safu Za Milima Ya Usambara Nasi Tungekuwa Na Yetu
Likitokea Lolote Watu Wanaingia
 
Vita ya Gaza ni complicated sababu Hamas wanajificha kwenye mashimo wanashambulia kwa kustukiza na wanaweka wamama na watoto kama ngao wanakaa kwenye majengo public na raia ukiwapiga lazima utaua raia ila kwa Iran ikipigana na Israel itakua open war kabisa Kambi za kesho za Iran ziko open kabisa zinajulikana itampa isarel muda mfupi kupiga targets zake
 
Yale masaa 48 ya waarabu wetu kulipua bado tu?
Masaa 48 hajatoa iran alisema USA kwa taarifa za intelligence zao sijui wametoa wapi na nyinyi ndio mnatuambia hata Russia alitoa saa 72 kuifuta ukraine hila ukitafuta source ya taarifa hupati uongo ndio sehemu ya maisha yenu
 
Hao makafiri wa shia wasithubutu kutupa hata ganda la ndizi ndani ya Israel na kama hawaamini basi wajaribu waone.
 
Kwaiyo mkuu ulitaka hamas wakae sehem za wazi?
 
Kwaiyo mkuu ulitaka hamas wakae sehem za wazi?
Kwann wajifiche nyuma ya raia Yan wanajichanganya na raia Ili ukipiga unaua na watoto ionekane issue ya genocide wavae uniform za jeshi wapigane kiume hii vita ya Gaza bila Dunia kuingilia kati ni kwel Israel atapiga kila kitu maana Hana muda wa kuchambua nani sie nani ndie
 
🀣🀣 Iran hebu tumia hizo hypersonic anasubiri nn ? Au saa 48 bado dunian kuna maajabu sana
 
Lakini Israel inaona ni haramu kwa Hamas kuwa na maandaki
 
Unatia huruma sana, yaani Israel ina jeshi bora kuliko NATO?? Yaani hata marekani ni cha mtoto kuliko Wahuni wa Telaviv
 
Unajua hypersonic ni spidi gani, na kombora hilo linafanyake kazi au unasoma stori za propaganda tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kaka hapa unaongelea ushabiki tu. Kama umepitia makala ya Operation Entebe ilofanywa na israel kuwaokoa mateka wao Uganda ambako ni thousands of Kms from Israel, imeshindwaje mpaka sasa kuokoa mateka wao ambao mpaka sasa hawajui wamefichwa wapi ndani ya Gaza ambayo wanashea mpaka??
Israel tunai overrate sisi wenyewe, lakini ukiangalia jinsi inavyoendesha operation yake Gaza unaona kabisa ni kama Panya road wamevamia mtaa.
Iran sio Gaza, wala Iran sio Syria, wala Iran sio Uganda au Jordan.
Acha ushabiki nenda kwenye uhalisiaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kaka hapa unaongelea ushabiki tu. Kama umepitia makala ya Operation Entebe ilofanywa na israel kuwaokoa mateka wao Uganda ambako ni thousands of Kms from Israel, imeshindwaje mpaka sasa kuokoa mateka wao ambao mpaka sasa hawajui wamefichwa wapi ndani ya Gaza ambayo wanashea mpaka??
Israel tunai overrate sisi wenyewe, lakini ukiangalia jinsi inavyoendesha operation yake Gaza unaona kabisa ni kama Panya road wamevamia mtaa.
Iran sio Gaza, wala Iran sio Syria, wala Iran sio Uganda au Jordan.
Acha ushabiki nenda kwenye uhalisiaa.
 
Wapo watu wanaodhani irani anapiga mikwara kwa israel. Ukwel ni kwamba, irani ndio mastermind wa yote anayofanyiwa israel na vikundi vya iraq, syria, lebanon na yemen.

Mpaka sasa inatosha kusema irani inampiga vikali israel.
Wengi tunategemea irani ilushe bomu kutoka tehran. Hilo halotokaa litokee. Irani itamshambulia israel kupitia nje ya tehran.

Israel anatumika kumchokonoa irani ili irani ajibu directly ipatikane sababu ya kumvamia.

Tusitegemee irani atajibu kama tunavyotaka
 
Mahaba yasiyotumia akili ni mabaya sana. Yaani Israel hii hii inayoingia Miezi sita na Hamasa tena katika kaeneo kadogo kama kijiji ndo itumie mwezi moja tu kuisambaratisha Iran. Kwa Mzungu na Mwaarabu hawakutuacha salama.
Hio vita na Hamas isingekuwa pressure ya kimataia, Israel ana uwezo wa kuifuta Gaza chini ya saa 24, lakini maafa yataluwa makubwa sana.
 
Maislam mnashadadia sana Iran aipe Israel ila soon mnaanza hoooo Israel anaua Waislam
 
Masaa ya Iran yanaenda polepole Sana maana 48 hours sasa ni wiki.
 
Ninachohisi,Iran haitarusha kombora lao direct from their territory. Watatumia base nyingine kuhadaa dunia. Otherwise tuhesabu Teheran itakuwa majivu in a matter of a minute. Aliyekuwa anatafutwa kupitia vita ya Gaza ni Iran baba la ugaidi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…