Hiyo sentensi imenikumbusha mtani wangu mmoja tulikuwa naye humu ndani hata sijui alipotelea wapi...Hahaha umewaza nn?ujue jf wengi ni fekero they are not whom they claim to be its just fantancy
Na pia unaweza kuta ni kidume cha miraba minne.....!kwa hiyo unataka kusema kuwa kuna uwezekano in real life Lara 1 ni decent quite woman...mhhh
Na pia unaweza kuta ni kidume cha miraba minne.....!
Hiyo sentensi imenikumbusha mtani wangu mmoja tulikuwa naye humu ndani hata sijui alipotelea wapi...
kwa hiyo unataka kusema kuwa kuna uwezekano in real life Lara 1 ni decent quite woman...mhhh
halafu namuona moneystunna hatoki humu,anasikilizia kama anaweza kuokota maembe chini ya mkorosho
natamani hawa ma-almaarufu wa jf mmu wa-date ,Moneystuna aje na ma-iphone 5 yake,i-pad na i-pod..unyunyu wa kilo 2, na designer suit yake ya singo batan..
huku Lara 1 akizishusha lite beer zake huku akipima upepo wa Moneystuna..
sijui yupi atakuwa wa kwanza kuja kumlipua mwenzake huku jukwaani,maana wote ni noumaa.
jumapili njema wana MMU
muzee ya pesa mingi nimefulia jamani nitoe hata kilo moja nikanunue viungo nipike pilau leo jpili wangu...nani kakwambia tutakuja kulipuana umu. mtaishia kutuona jf photo kutuona Hawaii tunakula bata
wewe ni fekero?Hahaha umewaza nn?ujue jf wengi ni fekero they are not whom they claim to be its just fantancy