Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Tunasubiri #WasafiFestival2018 maana #TigoFiesta2018 umetangazwa so tushuhudie ushindani mkubwa kuwahi kutokea katika tasnia ya mziki Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Millard ayo mwenye subscribers 1.3M?Diamond alivyokuwa akihojiwa na Lil Ommy aliliongelea hili,la wasanii kukataa kuhojiwa na WCB ,mwanzo walikuwa wanachomoa.
Mwaka ushaisha huu trending,charts zote zao.Diamond haitaji gombana na Ruge ili apandishe vituo vyake sababu ni yeye master mind wa social networks ambayo ina nguvu kuliko Ruge na anajua kufanya biashara ya mziki,hizi ndizo sifa za Diamond na WCB.Kila chenye mwanzo kina mwisho kulikwa na Radio free,Radio One zote zime drop ,ndio ikaja Clouds nayo ita ddrop na hata hao WCB nao wakizingua wata drop.
Angalia beef zao za kijinga zimemuathiri mpaka Millard Ayo views zimepungua Youtube,wenzake GPL (SUBSCRIBER 1M+) na Dizzim washaanza kumpita.
tunapoelekea hata hizo diamond karanga utaniambia kampuni kafuungua mwenyewe unakalia ujinga mi nakwambia hizo zote zipo kwe muungano wa makampuni ya kusaga ....unanipotezea nguvu ngoja nifanye kazi za muajili we endelea kucode ujingaHuna unachokijua kuhusu IT ndio maana unapayuka.Mimi sio mjuaji bali najua ninachokifanya na ndio maana nimekufafanulia ki professional zaidi, kama una hoja za kupinga hiki nilichokiandika kiweke hapa, lkn si kuzusha uongo.Sasa ukitaka kujiona ww mjinga nenda ktk jukwaa la science and tech alafu mtafute programmer yoyote mtag hii comment yako, alafu uone utakavyo chekwa na ujinga wako.
huyu dogo anamahaba na diamond sijui ndo wale kina juma lokole ah ahMillard ayo mwenye subscribers 1.3M?
Statistics za viewers umezichukulia kutoka muda gani na videos ngapi mpaka ukahitimisha dizim na global wanampita millard ayo?.
Nafahamu kuhusu website ya millard ayo.
Nimekuwa nikifuatilia takwimu za alexa ranking kuhusu tovuti zinatembelewa na watu wengi tz.
Millard ayo imekuwa ikiteremka vibaya hata kabla ya kuacha kuandika kuhusu diamond.
Lakini sasa hivi web ya ayo ni ya 17, hivyo nahitaji kufahamu kuhusu hilo unalodai kwenye upande wa youtube.
Lakini kutoka kwenye data za google milard ayo amekuwa akipoekea average searches kwa mwezi 100k-1M sawa na diamond na alikiba.
Mbona unahamisha magoli nani kazungumzia Diamond karanga, Diamond karanga mbona inafahamika ni kampuni ya Smart na Diamond anatumia jina lake kama brand, hiyo kawaida kama unavyo yeezy na Jordan na smart kampuni ya wahindi kusaga, yy ndio aliyemuunga Diamond kwa smart simple.tunapoelekea hata hizo diamond karanga utaniambia kampuni kafuungua mwenyewe unakalia ujinga mi nakwambia hizo zote zipo kwe muungano wa makampuni ya kusaga ....unanipotezea nguvu ngoja nifanye kazi za muajili we endelea kucode ujinga
Nimezungumzia rate ya growth ya views wewe una view 1. 3m, lkn nina views wachache lkn rate yangu ya views ni kubwa kuliko wewe, what do you expect baada ya mda mfupi? Kama utapata angalia video zinazotrend kwa upande wa Tz ndio utagundua.Nakupa mf bill Gates ana hela nyingi kuliko mark Zuckerberg lkn ktk kipindi hiki cha miaka mitatu rate ya kutengeneza hela mark ni kubwa kuliko ya gates, japokuwa gates yupo juu lkn mark anakuja kwa kasi, ndicho nilichomaanisha.Millard ayo mwenye subscribers 1.3M?
Statistics za viewers umezichukulia kutoka muda gani na videos ngapi mpaka ukahitimisha dizim na global wanampita millard ayo?.
Nafahamu kuhusu website ya millard ayo.
Nimekuwa nikifuatilia takwimu za alexa ranking kuhusu tovuti zinatembelewa na watu wengi tz.
Millard ayo imekuwa ikiteremka vibaya hata kabla ya kuacha kuandika kuhusu diamond.
Lakini sasa hivi web ya ayo ni ya 17, hivyo nahitaji kufahamu kuhusu hilo unalodai kwenye upande wa youtube.
Lakini kutoka kwenye data za google milard ayo amekuwa akipoekea average searches kwa mwezi 100k-1M sawa na diamond na alikiba.
na chibu dangote perfume je? kwanini sasa inakua ngumu kuamini kua dogo kuna watu walionyuma ya pazia ambaye ni joseph kusaga unapoambiwa kampui ipo affliated ni kama anakwambia ni kampuni mamaMbona unahamisha magoli nani kazungumzia Diamond karanga, Diamond karanga mbona inafahamika ni kampuni ya Smart na Diamond anatumia jina lake kama brand, hiyo kawaida kama unavyo yeezy na Jordan na smart kampuni ya wahindi kusaga, yy ndio aliyemuunga Diamond kwa smart simple.
Diamond collaboration anazo zapata ni juhudi zake yy mwenyewe na CV yake, Diamond kapata collaboration na Rick ross sababu wote ni brand Ambassador wa Belarie na hivi sasa Kuna collabo ya Lil Wayne sababu Sallam ni agent wa kinywaji cha BUMBU cha Lil Wayne, kusaga hausiki hata kidogo na ya neyo waliongea walipokutana ktk tuzo za MTV MAMA 2013 . Kuhusu kusaga kumiliki wasafi mimi napinga, najua mbishi ila kama ukipata mda mda mtafute mtu aliyesoma Computer Science alafu ww mwenyewe mpe ile comment yako kama hajakucheka. Kusaga hamiliki chochote kutoka Wasafi, hivi unajua mwaka jana Rwanda mwezi wa 7 kulikuwa na Fiesta na main artist alikuwa Diamond, aliyesimamia Kusaga na akaahidi litakuwa likfanyika kila mwaka, ila mpaka sasa hamna hata dalili na sizani kama litafanyika. Setup ni kampuni ya software ya CMG wao kazi yao ilikuwa kudevelop WASAFI. COM ya Diamond na wao ni wajibu wao kuifanyia maintainance sababu code (intellectual property) ni zao, lkn kampuni ile inabaki kuwa ya Mondi. Kusaga kama angekuwa yy anatafuta collaboration, mbona anashindwa kuwatafutia Wasanii wa THT wanaomuingizia hela ktk tamasha Lake la Fiesta.na chibu dangote perfume je? kwanini sasa inakua ngumu kuamini kua dogo kuna watu walionyuma ya pazia ambaye ni joseph kusaga unapoambiwa kampui ipo affliated ni kama anakwambia ni kampuni mama
affiliated
əˈfɪlɪeɪtɪd/
adjective
adjective: affiliated
sehem zote WASAFI.COM iliposambaa ndo ambapo kusaga tayari amejiwekeza kama rwanda hapa na collabo zote kubwa anazopata diamond nyuma ya pazia ni kusaga chukua mfano wa morgan heritage ambao waliunganishwa kusaga kupitia primetime promotion tawi la jamaika ...sasa ndugu yangu kama wataka hadi brella ndo uamini umiliki wa mtu utakesha sana
- (of a subsidiary group or a person) officially attached or connected to an organization.
KalaleDimond hana Uwezo wa kufungua Radio na TV,kuna watu wapo nyuma,achaneni na maisha ya instagram na facebook ya wasanii,maisha ya uhalisia ni tofauti na instagram,awamu ya 4 dimond alikuwa anatumia migongo ya kina rizmoko kufanya dili zake za "SNOW",Dimond mziki haumlipi hata kidogo,Show anazofanya wakati ana kundi la watu 20 wote hiyo hiyo hela ya show zinatosha? Hata akipiga show kwa 20m,mtagawana vipi? Fela,Tale,Mwarabu koko salamu,Dancers,Walinzi etc
Kwasasa wanajipendekeza kwa BASHITE awape madili haramu kama enzi za awamu ya nne,endorsements za dimond za kuhesabu ambazo haziwezi kumlipa mpaka kununua nyumba instagram iliyopo S.A,mtu mwenye hela hawezi kuishi kwenye kiwanja cha 25 kwa 25 madale,ilitakiwa awe na 140m kwa 140m ESTATE na si viwanja ukijenga hata Gari mbili ndani haziingii.
Wasanii maisha yao yote ni maigizo tu.
Hapa Ni bongo na kule Ni marekani na panamtosha ok go& sleepHapana sizungumzii sehemu,nazungumzia msanii kama yeye kuishi kwenye kiwanja kama kiganja cha mkono.....Sehemu zote ni sawa tu,tena nje ya mji ndio kuzuri,ona kina 50 cent wanakaa nje ya mji ila ana ekari za kutosha.
Diamond platinumz usimlinganishe na hao watotoWakupambana na clouds n
Comandoo jide pekeake
Hao wengine wote n fukuza
Upepotu wcb c chochote Kwa
Clouds na wasngefka hapo kama
Co ruge Sasa wajue kua
Kama wamliamsha bhas watalinywa
Waangalie wenzao kina tid,sugu,ruby
Wote walisanda sembuse wao kuku
Mtt wa kumzaa mwenywe hawez
Kukushinda tabia
Mbona fiesta imegomaSimba ni mtoto tu kwa clouds hata hao madalali wake hawawezi kushindana na clouds
Clouds for life
Huyu The Boss nadhani ndie amebadili user name, sasa Habibu B. Anga. Oh confusion na The Bold sijui!!!HIVI MLETA MADA ALIKULA PERMANENT BAN AU?
Kalale
Mnalipwa Tsh ngapi na Dimond kuja kumtetea humu? Atafute eneo kubwa ajenge mansion kama ana hela kama mnavyosema sio kuishi kwenye kiwanja cha hatua 25 kwa 25.Hapa Ni bongo na kule Ni marekani na panamtosha ok go& sleep
Haters!!Dimond hana Uwezo wa kufungua Radio na TV,kuna watu wapo nyuma,achaneni na maisha ya instagram na facebook ya wasanii,maisha ya uhalisia ni tofauti na instagram,awamu ya 4 dimond alikuwa anatumia migongo ya kina rizmoko kufanya dili zake za "SNOW",Dimond mziki haumlipi hata kidogo,Show anazofanya wakati ana kundi la watu 20 wote hiyo hiyo hela ya show zinatosha? Hata akipiga show kwa 20m,mtagawana vipi? Fela,Tale,Mwarabu koko salamu,Dancers,Walinzi etc
Kwasasa wanajipendekeza kwa BASHITE awape madili haramu kama enzi za awamu ya nne,endorsements za dimond za kuhesabu ambazo haziwezi kumlipa mpaka kununua nyumba instagram iliyopo S.A,mtu mwenye hela hawezi kuishi kwenye kiwanja cha 25 kwa 25 madale,ilitakiwa awe na 140m kwa 140m ESTATE na si viwanja ukijenga hata Gari mbili ndani haziingii.
Wasanii maisha yao yote ni maigizo tu.
Makonda hatokuwa milele RC wa dar vip kusaga ana warantii ya kuishi milele?Wanachopaswa kutambuwa watu ni kwamba Makonda siyo RC wa milele Dar, ametukuta Dar na atatuacha na.Dar yetu.
Ukitaka kushindana na Madon kama kina Kusaga sisi tuliozaliwa na kukulia jiji hili tunakutazama tu, tunajuwa ngoma ya kitoto haikeshi.
Naseed sidhani kama ana matatizo na mtu bali genge lake ndio linamuingiza matatizoni na wote ukiwatazama kwa makini wanaishi mjini kwa kutumia kipaji cha Naseeb.
Anyway muda utaamuwa lakini WCB hawana ubavu wa kudindishiana msuli na Clouds Media.
Joseph Kusaga alianza mwenyewe kubeba maspika ya kupigia disco kupeleka ukumbini, kuna washamba wa kuja wanamchukulia poa.
Clouds siyo Ruge, Clouds ni Joseph Kusaga, wacha wajinga wajaribu kujamba wakati wana matumbo ya kuhara, tuombe uhai tu.