Itakuaje siku Diamond akiwaomba radhi clouds TV?

Tunasubiri #WasafiFestival2018 maana #TigoFiesta2018 umetangazwa so tushuhudie ushindani mkubwa kuwahi kutokea katika tasnia ya mziki Tanzania.
 
Millard ayo mwenye subscribers 1.3M?

Statistics za viewers umezichukulia kutoka muda gani na videos ngapi mpaka ukahitimisha dizim na global wanampita millard ayo?.

Nafahamu kuhusu website ya millard ayo.

Nimekuwa nikifuatilia takwimu za alexa ranking kuhusu tovuti zinatembelewa na watu wengi tz.

Millard ayo imekuwa ikiteremka vibaya hata kabla ya kuacha kuandika kuhusu diamond.

Lakini sasa hivi web ya ayo ni ya 17, hivyo nahitaji kufahamu kuhusu hilo unalodai kwenye upande wa youtube.

Lakini kutoka kwenye data za google milard ayo amekuwa akipoekea average searches kwa mwezi 100k-1M sawa na diamond na alikiba.
 
tunapoelekea hata hizo diamond karanga utaniambia kampuni kafuungua mwenyewe unakalia ujinga mi nakwambia hizo zote zipo kwe muungano wa makampuni ya kusaga ....unanipotezea nguvu ngoja nifanye kazi za muajili we endelea kucode ujinga
 
huyu dogo anamahaba na diamond sijui ndo wale kina juma lokole ah ah
 
tunapoelekea hata hizo diamond karanga utaniambia kampuni kafuungua mwenyewe unakalia ujinga mi nakwambia hizo zote zipo kwe muungano wa makampuni ya kusaga ....unanipotezea nguvu ngoja nifanye kazi za muajili we endelea kucode ujinga
Mbona unahamisha magoli nani kazungumzia Diamond karanga, Diamond karanga mbona inafahamika ni kampuni ya Smart na Diamond anatumia jina lake kama brand, hiyo kawaida kama unavyo yeezy na Jordan na smart kampuni ya wahindi kusaga, yy ndio aliyemuunga Diamond kwa smart simple.
 
Nimezungumzia rate ya growth ya views wewe una view 1. 3m, lkn nina views wachache lkn rate yangu ya views ni kubwa kuliko wewe, what do you expect baada ya mda mfupi? Kama utapata angalia video zinazotrend kwa upande wa Tz ndio utagundua.Nakupa mf bill Gates ana hela nyingi kuliko mark Zuckerberg lkn ktk kipindi hiki cha miaka mitatu rate ya kutengeneza hela mark ni kubwa kuliko ya gates, japokuwa gates yupo juu lkn mark anakuja kwa kasi, ndicho nilichomaanisha.
 
na chibu dangote perfume je? kwanini sasa inakua ngumu kuamini kua dogo kuna watu walionyuma ya pazia ambaye ni joseph kusaga unapoambiwa kampui ipo affliated ni kama anakwambia ni kampuni mama
affiliated
əˈfɪlɪeɪtɪd/
adjective
adjective: affiliated
  1. (of a subsidiary group or a person) officially attached or connected to an organization.
sehem zote WASAFI.COM iliposambaa ndo ambapo kusaga tayari amejiwekeza kama rwanda hapa na collabo zote kubwa anazopata diamond nyuma ya pazia ni kusaga chukua mfano wa morgan heritage ambao waliunganishwa kusaga kupitia primetime promotion tawi la jamaika ...sasa ndugu yangu kama wataka hadi brella ndo uamini umiliki wa mtu utakesha sana
 
Diamond an
Diamond collaboration anazo zapata ni juhudi zake yy mwenyewe na CV yake, Diamond kapata collaboration na Rick ross sababu wote ni brand Ambassador wa Belarie na hivi sasa Kuna collabo ya Lil Wayne sababu Sallam ni agent wa kinywaji cha BUMBU cha Lil Wayne, kusaga hausiki hata kidogo na ya neyo waliongea walipokutana ktk tuzo za MTV MAMA 2013 . Kuhusu kusaga kumiliki wasafi mimi napinga, najua mbishi ila kama ukipata mda mda mtafute mtu aliyesoma Computer Science alafu ww mwenyewe mpe ile comment yako kama hajakucheka. Kusaga hamiliki chochote kutoka Wasafi, hivi unajua mwaka jana Rwanda mwezi wa 7 kulikuwa na Fiesta na main artist alikuwa Diamond, aliyesimamia Kusaga na akaahidi litakuwa likfanyika kila mwaka, ila mpaka sasa hamna hata dalili na sizani kama litafanyika. Setup ni kampuni ya software ya CMG wao kazi yao ilikuwa kudevelop WASAFI. COM ya Diamond na wao ni wajibu wao kuifanyia maintainance sababu code (intellectual property) ni zao, lkn kampuni ile inabaki kuwa ya Mondi. Kusaga kama angekuwa yy anatafuta collaboration, mbona anashindwa kuwatafutia Wasanii wa THT wanaomuingizia hela ktk tamasha Lake la Fiesta.
 
Kalale
 
Hapana sizungumzii sehemu,nazungumzia msanii kama yeye kuishi kwenye kiwanja kama kiganja cha mkono.....Sehemu zote ni sawa tu,tena nje ya mji ndio kuzuri,ona kina 50 cent wanakaa nje ya mji ila ana ekari za kutosha.
Hapa Ni bongo na kule Ni marekani na panamtosha ok go& sleep
 
Diamond platinumz usimlinganishe na hao watoto
 
Haters!!
 
As it is Now... Xlouds are in for it..

They've lots to lose.

Hutaki KUNYA.
 
Mimi apa sasa nimebaki ns TV moja tu ya burudani ya home WASAFI TV...of which im happy..

clouds tv ni mwezi wa pili sasa siwaoni..kutokana na masiasa ya kipumbavu kabisaa..

dont u find this eats to them!?
 
Makonda hatokuwa milele RC wa dar vip kusaga ana warantii ya kuishi milele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…