Itakuaje siku Diamond akiwaomba radhi clouds TV?

E FM wenyewe wanaonekana kushindwa, walekua ktk game 2016 2017 lkn hadi kufikia Leo, naona bado hawajatoboa tena hao wana TV wana radio, sembuse msanii wa kawaida!!!?
Acha utani ww E FM inasikilizwa mikoani huko usiongee kitu kama hujafanya research na kwa burudani sasa hiv ndiyo TV ipo vizur hasa hata ubora wa picha za ETV hata hao Clouds TV hawafiki .

Nazan baada ya muda atakuwa vizuri zaid wameanza vizuri sana
 
Clouds Tv sio tv ile,channel mwaka mzima inaonesha fiesta[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Channel za vijana zenye tija ni etv na eatv.
Channel ten siku hizi wameyumba sana.
Ooh hao channel ten ndio wana hali mbaya sana mkuu, yaani hapa bongo ITV itaendelea kuwakimbiza sana tu
 
Reactions: SDG
Sugu hapana mkuu,Sugu kasanda,ugomvi wao uliisha kwa kigezo cha kusema Mbowe alikutana na Ruge hili waweze kupata mwafaka...SUGU kashamaliza ugomvi na Ruge.
Ruge ndiyo alisanda na baada ya sugu kuanza harakati bungeni akimkomalia Ruge ishu ya mikataba na kodi za wasaan wa nje enzi za fiesta , na ugovi Mkubwa ilikuwa ni ule mradi aliomtapeliwa na ruge wa malaria na ishu zingine

Watapanishi wa ule ugovi alikuwa ni waziri Emmanuel nchimbi na baadhi ya viongozi wa chadema ( mbowe akiwemo) na walimaliza ugovi baada ya Ruge kukubali masharti yote ya sugu hasa kulipwa pesa zake za ule mradi na issue zingine . ndiyo ikawa mwisho

Ila sema sugu naye aliwasaliti vinega wale wa ant virus na ndiyo ikawa mwisho wa zile harakati za ant vitus ( wakina danny msimamo , suma G, mapacha, rama d, n.k)
 
Mwambie huyo afu muulize ishu ya ubunifu wao na hata TV yao ubora wa graphics kibongo bongo E TV ni ya pili baada ya Azam TV kwenye ubora wa picha zao
 
ITV nae kwa sasa azam anamuacha
Azam n kweli wanamuonekano mzuri sana kuzidi ITV sema ITV anawapiga gape wenzie kwakua na mpangilio mzuri wa vipindi
 
Reactions: SDG
Do not court death by the errors of your ways, nor invite destruction through the work of your hands.

For our days are the passing of a shadow, our end is without return, the seal is affixed and nobody comes back.

Kama kila mafanikio ya mtu yalivyo na siri ndivyo inabidi ili kumuangamizi mtu lazima ujue siri zake.. Angalia ugomvi wa Lady jayde na Clouds kila mmoja alikuwa anajua siri ya mwenzake ndo kisa cha kwenda mahakamani kujilinda.

Mwisho wa siku tunasema In time, our name will be forgotten, nobody will remember what we have done; our life will pass away like wisps of cloud, dissolving like the mist that the sun's rays drive away and that its heat dispels
 
Sugu alipatanishwa na Nchimbi,
Sasa unaweza kusema kasanda alisandaje kwa mfano?Clouds walikuwa wakimponda kwenye kampeni za 2010 kapita,haya 2015 ndo kaongoza kwa kura and he's still moving,sasa huyo amesanda kweli?

HAKUNA KUSAKA AMANI(SULUHU) WAKATI WA VITA NI KUPAMBANA MPAKA MWISHO,NINI NCHIMBI HATA NCHEMBA AJE HAKUNA SULUHU.
 
Hapana sizungumzii sehemu,nazungumzia msanii kama yeye kuishi kwenye kiwanja kama kiganja cha mkono.....Sehemu zote ni sawa tu,tena nje ya mji ndio kuzuri,ona kina 50 cent wanakaa nje ya mji ila ana ekari za kutosha.
Aaah mkuu hap umenifunguaa maan nasikiaa sikiaa dai kajenga madale nikajua ana ekal za kutoxhaa kumbe kam me tyu huku kwetuu hhaha ASANTE MUNGU KIMBE NAMI SIOO MDOGO SNAA KAM NAVYOZANIII
 
Ndio maana nyuma yuko karibu sana na kinje,kumbe ni snowman
 
Sugu alipatanishwa na Nchimbi,
Sasa unaweza kusema kasanda alisandaje kwa mfano?Clouds walikuwa wakimponda kwenye kampeni za 2010 kapita,haya 2015 ndo kaongoza kwa kura and he's still moving,sasa huyo amesanda kweli?
Hii ya mradi wa maralia tunalishwa tango poli?
 
Mkuu upo deep kwene haya mambo kuna kipindi walisema dai ananunua royce rolls ukasema hana kipato cha kumiliki ndiga hyo watu walikuponda mwisho wa siku mpaka leo hyo gari sijui iliishia wapi, ukweli ndio huo ana pesa za bando na nauli tu ya south africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…