Itakuaje siku Diamond akiwaomba radhi clouds TV?

kawaida kuomba radhi mkuu .. only strong people can do that .. sio kila mtuuu anaweza ... chuki haijawahi kumuacha mtu salama...
 
hongera wew una zaidi yake
 
Kuna kuomba msamaha hapo ,
Diamond anawalipa watu zaidi ya 50+ hela na khamisa + matunzo na nyumba aliyodai kununua South+madale
Hii life awaulize kina Davido ,Tecno Whizy wana Base.
Mziki hawapigii njaa, by the wao huwaoni hawa jamaa ni maarufu duniani kutembea na bouncer,wala mameneja 20,kuongozana na mama zao, watoto,wapambe kwe tour moja.
Zari kashacheza na akili za huyu dogo wa Tandale.
 
Haya kumekucha Da Mange anamwaga mambo hadharani huko Insta saa hizi.

Ruge ndio manager wa Diamond under cover of Babu Tale na Sallam.
 
Mange ameshajibu yote hayo....karipoti kwenye page yake plzzz
 
Halafu ingekuwa rahisi wao kupigana na clouds kama
wangekuwa hawashirikiani kwa lolote
sasa wao kumbe karanga na perfume ni biashara za clouds..
halafu wanakuja kutunisha misuli hapo sijawaelewa kabisa...
MISS YOU BROTHER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…