Itakuaje Tanzania na DR Congo zikiungana?

Ukiacha tabia za utekaji zilizoibuka nchini hivi karibuni na kasoro zinginezo ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi, Tanzania bado ni kati ya nchi ambayo naamini Raia wa Congo wanatamani nchi yao ingekuwa na amani kama ya Tanzania.

Kama ikitokea kwa mfano, Baraza la Mawaziri la Congo DRC likapitisha azimio la kuisalimisha nchi yao ya DRC kwa Tanzania, kwamba Congo DRC iwe nchi moja na Tanzania, kwamba Rais wa Congo na mawaziri wote wa Congo wapangiwe majukumu mengine na Rais wa Tanzania, unafikiri ingekuwaje?

1. Tanzania ingekubali kuchukua nchi ya Congo DRC iwe sehemu ya ardhi yake ilhali ina migogoro lukuki?

2. Raia wa Congo wangelipokeaje hilo?

3. Machafuko ya Congo yangeweza kuisha?

4. Kama madai kuwa vurugu za Congo DRC zinachochewa na PK na M7 zina ukweli, wangeacha kufanya hivyo baada ya DRC kuwa ardhi ya Tanzania?

5. Wewe kama wewe ungekubali Congo DRC. iwe sehemu ya ya Tanzania? Kwamba Wakongo wawe raia Tanzania kama wewe ulivyo raia wa Tanzania?
Ndiyo maana wataalam wanashauri kuwa na lishe bora ili afya ya akili iwe bora tuwe tunafikiri sawa sawa.
 
Achana na Congo tu kuna kipindi kile cha Pan Africanism hizi ndio zilikuwa ndoto za watu wa kipindi hicho ili kuweza kukabiliana na Mabeberu ukizingatia Clans can not Defeat Empires.., ingawa ni ngumu sana kwa multi cultures ku-mix lakini tungeweza kuungana katika Trade Africa nzima tungefika mbali (ila divide and rule wanayotumia watu wa huko nje bado inasumbua ukizingatia umimi wa wachache)..., Sasa kama Congo wameshindwa kuungana wenyewe kwa wenyewe tu ije kuwa na wengine ? Nakuacha na wimbo wa Bob Nesta Marley Africa Unite....

View: https://youtu.be/4fBKrM0qzRA?si=W4XakqT1frMLs30g
 
Dah! Umeandika mambo ya kufikirika tu, na ambayo hayawezi kutokea kamwe.
Mkuu, hata simu unayoitumia kwa sasa ilikuwa ni kitu cha kufikirika tu karne zilizopita. Silikumbuki jina la mwanasayansi husika, ambaye alipotangaza kuwa kugundua njia ya mawimbi ya sauti kusafiri bila kutumia nyaya, watu wake wa karibu walimfunga kamba na kumpeleka hospitalini waliamini anechanganyikiwa.

Lisilowezekana leo huenda litawezekana kesho.
 
Kweli unacheza wewe...
Ni kujibebesha mzigo na shida za jirani ambazo hatuwezi kuzitatua katu. Lile ni shamba la bibi na hatuna ubavu wa kulilinda plus matatizo yetu miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru bado ni yale yale hatujayatatua.
Mimi nahisi kinachokosekana Congo DRC ni uongozi sahihi, ombwe ambalo linaweza kuzibwa vizuri na Tanzania.
 
Weeee hatutaki tukijiunga na Congo kesho yake wale waasi sijui Adf Nalu usikie wako njiani kwenda kuikomboa Daslamu mkoa wao
JWTZ wakiwa wapi? Hukumbuki walichowafanya M23 kipindi cha utawala wa Kikwete?
 
Then congo ni vigumu kussetle migogoro yao,hawajawahi kuacha kugombea madaraka tokea miaka ya 1400,walikuwa ni watu wakupigana pigana wakigombea madaraka
Hali ilikuwaje ilipokuwa koloni la Mbelgiji?
 
Ni sawq na kuuliza hivi Jua likianzia west kwenda south itakuwaje!
Mbona ni sawa tu mkuu! Jua likianzia West kwenda East implies that nchi za West zitatangulia kupata jua.vv
 
Ukiacha tabia za utekaji zilizoibuka nchini hivi karibuni na kasoro zinginezo ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi, Tanzania bado ni kati ya nchi ambayo naamini Raia wa Congo wanatamani nchi yao ingekuwa na amani kama ya Tanzania.

Kama ikitokea kwa mfano, Baraza la Mawaziri la Congo DRC likapitisha azimio la kuisalimisha nchi yao ya DRC kwa Tanzania, kwamba Congo DRC iwe nchi moja na Tanzania, kwamba Rais wa Congo na mawaziri wote wa Congo wapangiwe majukumu mengine na Rais wa Tanzania, unafikiri ingekuwaje?

1. Tanzania ingekubali kuchukua nchi ya Congo DRC iwe sehemu ya ardhi yake ilhali ina migogoro lukuki?

2. Raia wa Congo wangelipokeaje hilo?

3. Machafuko ya Congo yangeweza kuisha?

4. Kama madai kuwa vurugu za Congo DRC zinachochewa na PK na M7 zina ukweli, wangeacha kufanya hivyo baada ya DRC kuwa ardhi ya Tanzania?

5. Wewe kama wewe ungekubali Congo DRC. iwe sehemu ya ya Tanzania? Kwamba Wakongo wawe raia Tanzania kama wewe ulivyo raia wa Tanzania?
Nchi mpya itaitwa Democratic Republic of Takonzania
 
Kwanza kabisa tambua kuwa France, USA 🇺🇸, Belgium 🇧🇪,Italy na nchi nyingine zenye maslahi na Drc hazitakubali huo muungano kupitia umoja wa mataifa.

Pili,hakuna binadamu yeyote aliyewahi kuwa mkuu wa sehemu yoyote alafu ije itokee mamlaka yake ayakabidhi kwa mtu mwingine,yaani let say tsishekedi apangiwe majukumu na samia? Haitawezekana.
 
Ukiacha tabia za utekaji zilizoibuka nchini hivi karibuni na kasoro zinginezo ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi, Tanzania bado ni kati ya nchi ambayo naamini Raia wa Congo wanatamani nchi yao ingekuwa na amani kama ya Tanzania.

Kama ikitokea kwa mfano, Baraza la Mawaziri la Congo DRC likapitisha azimio la kuisalimisha nchi yao ya DRC kwa Tanzania, kwamba Congo DRC iwe nchi moja na Tanzania, kwamba Rais wa Congo na mawaziri wote wa Congo wapangiwe majukumu mengine na Rais wa Tanzania, unafikiri ingekuwaje?

1. Tanzania ingekubali kuchukua nchi ya Congo DRC iwe sehemu ya ardhi yake ilhali ina migogoro lukuki?

2. Raia wa Congo wangelipokeaje hilo?

3. Machafuko ya Congo yangeweza kuisha?

4. Kama madai kuwa vurugu za Congo DRC zinachochewa na PK na M7 zina ukweli, wangeacha kufanya hivyo baada ya DRC kuwa ardhi ya Tanzania?

5. Wewe kama wewe ungekubali Congo DRC. iwe sehemu ya ya Tanzania? Kwamba Wakongo wawe raia Tanzania kama wewe ulivyo raia wa Tanzania?
Kama namuona Mayele ambavyo angekuja kwetu kuomba nimpangishe chumba Cha uhani ,alafu ningekataa kuwa hapana ulitutesa Sana ukiwa utopoloni
 
Ukiacha tabia za utekaji zilizoibuka nchini hivi karibuni na kasoro zinginezo ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi, Tanzania bado ni kati ya nchi ambayo naamini Raia wa Congo wanatamani nchi yao ingekuwa na amani kama ya Tanzania.

Kama ikitokea kwa mfano, Baraza la Mawaziri la Congo DRC likapitisha azimio la kuisalimisha nchi yao ya DRC kwa Tanzania, kwamba Congo DRC iwe nchi moja na Tanzania, kwamba Rais wa Congo na mawaziri wote wa Congo wapangiwe majukumu mengine na Rais wa Tanzania, unafikiri ingekuwaje?

1. Tanzania ingekubali kuchukua nchi ya Congo DRC iwe sehemu ya ardhi yake ilhali ina migogoro lukuki?

2. Raia wa Congo wangelipokeaje hilo?

3. Machafuko ya Congo yangeweza kuisha?

4. Kama madai kuwa vurugu za Congo DRC zinachochewa na PK na M7 zina ukweli, wangeacha kufanya hivyo baada ya DRC kuwa ardhi ya Tanzania?

5. Wewe kama wewe ungekubali Congo DRC. iwe sehemu ya ya Tanzania? Kwamba Wakongo wawe raia Tanzania kama wewe ulivyo raia wa Tanzania?
Kwa mfano pande zote tumekubali kuungana, jinabla nchi hii mpya liwe TANZACONIA
 
wewe utakuwa umevuta SKANKA!!
 
Hao wamezoea kula nyama za watu, unafikiri wataacha vita?
Angalia wakimbizi wakati ule walipokuja Tz
Yaliyotokea unajua, waliingia na silaha wakaanza kuuwa watz kwa kuwapora njiani kwenye mabasi
Amani ikakosekana mpaka Magu alipotoa amri walazwe
Ya kwetu yanatutosha ya wizi wa mali za umma na Rushwa
Ila vita waachieni wao sisi hatuwezi mikikimikiki hiyo
 
Back
Top Bottom