Itakuaje Tanzania na DR Congo zikiungana?

Kwa jicho la uanamajumuhi wa Afrika hili ni jambo linawezekana kabisa na mimi naliombea litokee tuungane na kuwa na umoja kwelikweli ili kuwashinda mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…