mtetezi wa MAGU
Member
- Dec 15, 2022
- 18
- 128
Waswahili Wanasema kila zama na majira yake,Kwasababu Mh Rais ameruhusu mikutano ya siasa, kwa Lugha nyingine ameruhusu uhuru wakuongea na kutoa mawazo mapya anayoyapenda na hata asiyoyapenda Ungana nami katika kutumia uhuru huo tuliopewa na Mh Mama yetu Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania.
ITAKULAZIMU KUFANYA MAOMBI KUMUELEWA MAGUFULI.
Kwa macho ya binadamu unaweza USIONE umuhimu wa Bwawa la mwalimu nyerere lenye uwezo wakuzalisha megawatt zaidi ya 2000 au kuona umuhimu wa reli ya standard gauge Dar to kigoma vile itarahisiha mawasiliano,lakini unaweza usione Umuhimu wakutumia rasilimali za nnchi hususani Madini,wanyama pori hasa kwa mstakabali wa maendeleo ya Taifa Letu ,vile vile unaweza usione umuhimu wa Shirika la ndege (Air Tanzania),unaweza kwenda mbali zaidi ukaona Watanzania wanyonge wanaotoka kutafuta ndio wale (Machinga) ni wachafuzi wa Miji,ni mtizamo pekee wakikoloni kudhani mabeberu Wanatupenda hata kutuletea chanjo na sasa ni booster, yote haya na mengine mengi yaliyofanywa na Magufuli itakulazimu kufunga nakufanya maombi kumuelewa dhamira yake ya dhati.
ITAKULAZIMU KULEWA KUMPONGEZA RAIS SAMIA
Kupanda kwa gharama ya Maisha,nnchi kugeuka omba omba,Tozo kila kona, Ukosefu wa Ajira, matatizo ya maji, matatizo ya umeme,huduma mbovu serikalini,Unyanyasaji machinga ,kuruhusu wajawazito mashuleni,Kutokukemea ushoga,Yote haya yanafanyika chini ya Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mh Samia Suluhu Hassan ni wazi Itakulazimu Kulewa chakari usione haya lakini kwa akili timamu Huwezi kusema ANAUPIGA MWINGI dhamira moyoni itakusuta na Siku moja utajibu Kwa Mungu.
Hakika uwamuzi ni wako kuchagua kufanya maombi au kulewa.