Pre GE2025 Itakuwa Aibu sana kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kutumikishwa na mtu mdogo kama Albert Chalamila

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usichokijua ni kuwa majeshiCCM ni watiifu hata kwa wajumbe wa NEC ya CCM achilia mbali RC.

Kwahivyo hilo agizo litatekelezwa cha msingi watanzania wapiganie katiba mpya kuondokana na hawa washenzi .

Hebu jionee hapo zero brain mwingine wa mkoa huo huo anaangushiwa salute , wataacha kumtii mlevi na mropokaji kama Chalamila?
 
Hao Polisi wamezoeleka
 
Kama mkuu wa mkoa ambaye ni mwakilishi wa Rais kawaomba wafanye usafi WATAFANYA kwenye tarehe tajwa.
 
Hapo umekosea. Mkuu wa Mkoa ndiye mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani kwake.

Chalamila yuko sawa kuyatumia majeshi kwa kazi hiyo ya usafi. Ingekuwa anakwenda kwenye vita hapo angekuwa amekosea ba naamini hata makamanda wasingempa hata SMG moja wala kuruta mmoja
 
Si kweli
 
Chalamila ni spika tu inayopokea maweimbi ya umeme na kutoa sauti. Jeshi ndio lijitafakari hichi linachifanyiwa ni heshima? Sema nchi ikiwa haina vita wanajeshi wanapokea mishahara ya bure acha wakafagie barabara ccm wamejiongeza.
 
Lazima ujue jeshi liko chini ya wananchi na wanasiasa ndio wawakilishi wa wananchi
 
Mkuu si bure! Huenda RC amepokea Maagizo kutoka kwa Amiri Mkuu wa Majeshi!
Kwahiyo ametangaza kwa niamba ya Rais kuwa Tanzania nzima JW wafanye usafi? Duniani kuna mambo sana yaani Rais aachen kumpatia mkuu wa majeshi maagizo then ampatie RC wa Dar ampatie mkuu wa majeshi?
 
Itakuwa ni dharau kubwa sana kwa wanajeshi wetu kuamrishwa na mtu mdogo sana kama RC wakafanye usafi hii ni aibu
 
Kwahiyo ametangaza kwa niamba ya Rais kuwa Tanzania nzima JW wafanye usafi? Duniani kuna mambo sana yaani Rais aachen kumpatia mkuu wa majeshi maagizo then ampatie RC wa Dar ampatie mkuu wa majeshi?
Peleka makende yako barabarani siku hiyo kama unataka kupima uwezo wa Chalamila
 
JWTZ Ina hadhi na heshima kubwa sana nchi hii. Lkn maagizo kama haya ndiyo yanaloshushia hadhi na heshima. Kuna wakati JWTZ waliambiwa wabebe korosho, tukaachwa midomo wazi.

Sasa Chalamila ameamuru JWTZ wakazoe takataka mitaani na kudeki vyoo vya stendi. Hii ni dharau kwa jeshi hili endapo watatii agizo la Chalamila.
 
Peleka makende yako barabarani siku hiyo kama unataka kupima uwezo wa Chalamila
Umenielewa au na wewe kichwa maji? Mimi nimezungumzia chain of command then wewe unaleta mambo ya makende, nikisema wewe ni ndo kende zangu nitakuwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…