Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao Polisi wamezoelekaUsichokijua ni kuwa majeshiCCM ni watiifu hata kwa wajumbe wa NEC ya CCM achilia mbali RC.
Kwahivyo hilo agizo litatekelezwa cha msingi watanzania wapiganie katiba mpya kuondokana na hawa washenzi .
Hebu jionee hapo zero brain mwingine wa mkoa huo huo anaangushiwa salute , wataacha kumtii mlevi na mropokaji kama Chalamila?
View attachment 2870937
KWa nini Pasco hajakupa like??Nyie ndio Washamba Washamba, Mbowe kaachiliwa kwenye ugaidi kakimbilia Ikulu
Leo anaiambia mifugo iandamane 😂🔥
Kama mkuu wa mkoa ambaye ni mwakilishi wa Rais kawaomba wafanye usafi WATAFANYA kwenye tarehe tajwa.Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana , si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam , Albert Chalamila , ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake au analeta Usanii wake uliozoeleka , Bali ninachokijua ni Kwamba Chalamila ameropoka bila ku consult kiongozi yeyote wa juu .
Jeshi la Wananchi haliwezI kutii maagiizo ya kijinga kutoka kwa kiongozi wa chini kama Mkuu wa Mkoa , linaweza kutii maagizo ya Rais , Waziri wa Ulinzi au Mkuu wa Majeshi , Tuliwahi kumkataza Mkuu mmoja wa Wilaya Humu kuacha kuvaa sare za Jeshi kwenye shughuli zake (Tunashukuru kwamba alituelewa )
Kwahiyo nachukua nafasi hii kumkumbusha ndugu Chalamila kwamba hana mamlaka yoyote yale ya kuliamrisha Jeshi la Wananchi katika jambo lolote lile , kwanza anapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na dharau kwa JW kwa kulipa kazi ya kusafisha mitaro , hii si kazi ya JW , vinginevyo atueleze hawa Wakandarasi wazoa taka wanaolipwa hela nyingi na Wananchi wapo kwa ajili ya nini .
Natoa wito kwa viongozi wa chini kama hawa Wakuu wa Mikoa kuacha kukwepa hoja za kisiasa na kujificha kwenye majeshi yetu , Huo ni Udhalilishaji , Sisi wananchi hatutakubali .
View attachment 2870893
Hapo umekosea. Mkuu wa Mkoa ndiye mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani kwake.Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana , si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam , Albert Chalamila , ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake au analeta Usanii wake uliozoeleka , Bali ninachokijua ni Kwamba Chalamila ameropoka bila ku consult kiongozi yeyote wa juu .
Jeshi la Wananchi haliwezI kutii maagiizo ya kijinga kutoka kwa kiongozi wa chini kama Mkuu wa Mkoa , linaweza kutii maagizo ya Rais , Waziri wa Ulinzi au Mkuu wa Majeshi , Tuliwahi kumkataza Mkuu mmoja wa Wilaya Humu kuacha kuvaa sare za Jeshi kwenye shughuli zake (Tunashukuru kwamba alituelewa )
Kwahiyo nachukua nafasi hii kumkumbusha ndugu Chalamila kwamba hana mamlaka yoyote yale ya kuliamrisha Jeshi la Wananchi katika jambo lolote lile , kwanza anapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na dharau kwa JW kwa kulipa kazi ya kusafisha mitaro , hii si kazi ya JW , vinginevyo atueleze hawa Wakandarasi wazoa taka wanaolipwa hela nyingi na Wananchi wapo kwa ajili ya nini .
Natoa wito kwa viongozi wa chini kama hawa Wakuu wa Mikoa kuacha kukwepa hoja za kisiasa na kujificha kwenye majeshi yetu , Huo ni Udhalilishaji , Sisi wananchi hatutakubali .
View attachment 2870893
Umesoma uzi ukaelewa ?Kama mkuu wa mkoa ambaye ni mwakilishi wa Rais kawaomba wafanye usafi WATAFANYA kwenye tarehe tajwa.
Si kweliHapo umekosea. Mkuu wa Mkoa ndiye mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani kwake.
Chalamila yuko sawa kuyatumia majeshi kwa kazi hiyo ya usafi. Ingekuwa anakwenda kwenye vita hapo angekuwa amekosea ba naamini hata makamanda wasingempa hata SMG moja wala kuruta mmoja
Haya peleka komwe lako tarehe 24 / Januari ndiyo utajuwa maana ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya MkoaSi kweli
Kwahiyo ametangaza kwa niamba ya Rais kuwa Tanzania nzima JW wafanye usafi? Duniani kuna mambo sana yaani Rais aachen kumpatia mkuu wa majeshi maagizo then ampatie RC wa Dar ampatie mkuu wa majeshi?Mkuu si bure! Huenda RC amepokea Maagizo kutoka kwa Amiri Mkuu wa Majeshi!
Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana , si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam , Albert Chalamila , ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake au analeta Usanii wake uliozoeleka , Bali ninachokijua ni Kwamba Chalamila ameropoka bila ku consult kiongozi yeyote wa juu .
Jeshi la Wananchi haliwezI kutii maagiizo ya kijinga kutoka kwa kiongozi wa chini kama Mkuu wa Mkoa , linaweza kutii maagizo ya Rais , Waziri wa Ulinzi au Mkuu wa Majeshi , Tuliwahi kumkataza Mkuu mmoja wa Wilaya Humu kuacha kuvaa sare za Jeshi kwenye shughuli zake (Tunashukuru kwamba alituelewa )
Kwahiyo nachukua nafasi hii kumkumbusha ndugu Chalamila kwamba hana mamlaka yoyote yale ya kuliamrisha Jeshi la Wananchi katika jambo lolote lile , kwanza anapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na dharau kwa JW kwa kulipa kazi ya kusafisha mitaro , hii si kazi ya JW , vinginevyo atueleze hawa Wakandarasi wazoa taka wanaolipwa hela nyingi na Wananchi wapo kwa ajili ya nini .
Natoa wito kwa viongozi wa chini kama hawa Wakuu wa Mikoa kuacha kukwepa hoja za kisiasa na kujificha kwenye majeshi yetu , Huo ni Udhalilishaji , Sisi wananchi hatutakubali .
Itakuwa ni dharau kubwa sana kwa wanajeshi wetu kuamrishwa na mtu mdogo sana kama RC wakafanye usafi hii ni aibuJeshi la Wananchi wa Tanzania ni Taasisi kubwa sana , si Taasisi inayoweza kutumika Kisiasa kama anavyotaka kufanya RC wa Dar es Salaam , Albert Chalamila , ama Chalamila hajui mipaka ya Cheo Chake au analeta Usanii wake uliozoeleka , Bali ninachokijua ni Kwamba Chalamila ameropoka bila ku consult kiongozi yeyote wa juu .
Jeshi la Wananchi haliwezI kutii maagiizo ya kijinga kutoka kwa kiongozi wa chini kama Mkuu wa Mkoa , linaweza kutii maagizo ya Rais , Waziri wa Ulinzi au Mkuu wa Majeshi , Tuliwahi kumkataza Mkuu mmoja wa Wilaya Humu kuacha kuvaa sare za Jeshi kwenye shughuli zake (Tunashukuru kwamba alituelewa )
Kwahiyo nachukua nafasi hii kumkumbusha ndugu Chalamila kwamba hana mamlaka yoyote yale ya kuliamrisha Jeshi la Wananchi katika jambo lolote lile , kwanza anapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na dharau kwa JW kwa kulipa kazi ya kusafisha mitaro , hii si kazi ya JW , vinginevyo atueleze hawa Wakandarasi wazoa taka wanaolipwa hela nyingi na Wananchi wapo kwa ajili ya nini .
Natoa wito kwa viongozi wa chini kama hawa Wakuu wa Mikoa kuacha kukwepa hoja za kisiasa na kujificha kwenye majeshi yetu , Huo ni Udhalilishaji , Sisi wananchi hatutakubali .
View attachment 2870893
Peleka makende yako barabarani siku hiyo kama unataka kupima uwezo wa ChalamilaKwahiyo ametangaza kwa niamba ya Rais kuwa Tanzania nzima JW wafanye usafi? Duniani kuna mambo sana yaani Rais aachen kumpatia mkuu wa majeshi maagizo then ampatie RC wa Dar ampatie mkuu wa majeshi?
Umenielewa au na wewe kichwa maji? Mimi nimezungumzia chain of command then wewe unaleta mambo ya makende, nikisema wewe ni ndo kende zangu nitakuwa sahihi.Peleka makende yako barabarani siku hiyo kama unataka kupima uwezo wa Chalamila