Itakuwa dharau kubwa kwa Vijana wa CCM kama Rais Samia atamteua Bananga kwenye nafasi ya uongozi

Kwani wakati 'fisadi papa' akiteuliwa kuwa mgombea Urais bavicha hamkuwepo?

Sumaye kuwa mjumbe wa kamati kuu cdm, hakukuwa na wafia chama huko?

vipi kina Ester Bulaya na wenzake waliopewa nafasi za kugombea ubunge ilhali walishindwa kura za maoni huko cdm? Mlifanyaje?

Sisi huku tunafuata nyayo zenu tu [emoji23]
 
Chadema ni chuo kikuu cha siasa tza hadi kuunga juhudi means alishasaini mikataba.
Naona maza anatembelea falsafa zile zile
 
Haya kuhusu kadili na gaidi ya ccm haya kuhusu
 
Uaneni tu,sisi no wazikaji.
 
Yuviisisiemu mkae kwa kutulia maan hazina ya viongoz vijana ipo chadema! Reference previous prezidaa
 
Lazima wepewe vyeo. Ili kiwatamanisha wanasiasa Malaya malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…