Nitashanga na nitajiuliza mara kujiuliza kama kuna mwana ccm au mtu yeyote atamjibu Mzee Warioba.
Pili sio kila Mzee ni wakumjibu Jaji Warioba ameona mengi na anonyesha amekuwa kiongozi alie penda haki hata pale wakuu wake walipo fanya maamuzi yalikinzana na taratibu.
Jaji Warioba hatupaswi kumjibu ila tunapaswa kumsikiliza nakufanyia kazi.
Jeshi letu na idara zake hazipaswi kuingizwa kwenye siasa huwo ni ukweli mchungu tena mchungu sana na una madhara makubwa tukiudharau.
Nasisi tiza kumbukeni maneno yayule alie sema mzee anawashwa washwa na mwisho wake.
Jaji Warioba amesema kwa niaba ya wazee na mh Jakaya aliwahi sema "ukitaka nchi itulie sikiliza wazee" vijana tuache mihemko hichi chama hawa wazee wakiamua wanakipindua na mipango yenu yote mtaikuta baharini WAZEE WASIKILIZWE NA KUHESHIMIWE.