Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona uneoaniki.endelea kupaniki na ikibidi unywe sumu UFE kabisa maana huna faida yoyote ile hapa Duniani.Embu kunywa sumu uone kama kuna mtu atasikitika
kwani kufa ni adhabu au ni mchakato wa kiasili kwa kila kiumbe hai? We nae! Kwa hiyo nikifa na hakuna anayesikitika kwamba sitazikwa au unamaanisha nini? Nini faida za kusikitika anazopata mfu kutoka kwa wale walio hai? Nimeuliza tangu lini wewe umekuwa mwema wa kuishauri hatma ya cdm hujajibu hili swali. Yaani wewe ni ile sampuli ya watu ambao 'KUTIWA ATIWE MWINGINE WEWE UKATIKE KIUNO'
 
Hili ni papai watu wanajibonyezea kizenji tu.
 
Mimi ni mlipa kodi inayotumika kulipa Ruzuku CHADEMA
 
Kwa hiyo na wewe unafikiri kuwa Lissu anaweza kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa? Una jitambua kweli wewe? Lissu hawezi kamwe na katu kuiongoza CHADEMA hata kwa siku moja tu.
Tunzza kumbukumbu
 
Naona uneoaniki.endelea kupaniki na ikibidi unywe sumu UFE kabiss maana huna faida yoyote ile hapa Duniani.Embu kunywa sumu uone kama kuna mtu atasikitika
Kama magufuli aliwahi kua rais wa tz,nini kitamshinda TL kuongoza CDM???
 
😂😂🤣 wimbo wa mbowe kuwa aachie madaraka kwakuwa amekaa muda mrefu mmeamua kuuacha kisa TAL katangaza kuutaka uunyekiti wa CHEDEMA.
 
Kilanza ktk ubora wako, tangu lini ww Lucas ukaipenda chadema na kuitakia mema?
 


Tunaogopa kutoa ushauri kwenye Chama chenu

Hatuna Advocate
 

Basi heshimu na mawazo ya wenzako ambao wanamtaka jemedari lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…