Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huu uzi ukisomwa na Erythrocyte inakuwa kama kuonja asali kwenye ncha ya kisu... leo hii Mwashambwa anaungana na Yericko Nyerere na makada wengine wa CHADEMA kumsapoti Mbowe..πŸ˜„ hatari sana. CHADEMA mkipita hapa salama mtakuwa imara sana kisiasa ingawa bado ni ngumu mno. Mmeshindwa kabisa kukwepa mtego wa kushambuliana wenyewe hadharani. Kada kama Yericko kumwita mwongo hadharani makamu mwenyekiti wa chama Taifa ni laana ndani ya chama. Ndani ya CCM nidhamu ni kipaumbele cha kwanza. Haitakaa itokee mjumbe wa mkutano mkuu kumshambulia makamu mwenyekiti taifa hadharani kama mnavyofanya huko CHADEMA.
 
Iissu akipata uwenyekiti chama kitaendeshwa kihuni huni sana . Lissu hafai hata kidogo kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.
 
Hujui kitu, Shut up!
 
Lucas Mwashambwa,Principal Chawa najua level yako ya elimu. Kati y JPM na LISSU nani na anabusara ? Nani mvumilivu

Mwenyekiti wenu alishawahi kutuambia hajaleta tetemeko na akala hela za michango. Kuna huyu wa sasa in the midst of chaos, anasema kifo ni kifo tu hata mbelez wanauana, je unazungumzia busara gani dogo ? Hekima gani ?

JPM alikuwa mstahamili? Waulize kina nape
Mshaanza kumuogopa Lissu , mnataka pandikizi lenu lidume.

CCM mnabenefit sana na weak opposition ndani ya TZ . Lissu anakwenda kuifanya chadema ya moto na mtapumulia gas zaid ya Enz za JPM

.labda mjaribu kumuua tena , na tumemfunga chip be informed. Dogo ogopa ulimwengu wa technology na digital transformation ….. mtajikuta mpo uchi sebuleni

Lissu amejitolea maisha yake kwa ajili ya kizazi chako baba bwege,…. Ukipata exposure na ukomavu wa akili utanielewq
Kwa sasa endelea huko incubation

Tunahitaji UPINZANI utifuane utifuane sana hapo TZ ILI UZALIWE UPINZANI WENYE TIJA UTAKAOKUJA KUITOA CCM.kwa sasa hakuna UPINZANI wa kuwatoa nyie Green devil.

UPINZANI chini ya mtoto wa nyerere ni wa mchongo na utapeli na ndio furaha yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…