Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna chama chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani.kwa hiyo hizo porojo zako na ujinga wako baki bao kichwani mwako na siyo kuongea mbele za watu.
 
Hakuna chama chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani.kwa hiyo hizo porojo zako na ujinga wako baki bao kichwani mwako na siyo kuongea mbele za watu.
Iman yako itakuponya. Very soon tunakwenda kuzaa Upinzani Tananzania. Unayo haki na jeuri ya kusema hayo kwa sasa na upo
sahihi temporaire

Ila rebirth ya upinzani Rasmi unakwenda kuzaliwa na mjipange….. CCM mtatoka madarakani ni suala la muda and mark my words

nchi jirani vyama vyao tawala viliwahi kusema hivyo.
 
CCM itatawala na kusalia madarakani mpaka mwisho wa Dunia
 
Wewe ndio mwendawazimu!

MLEMAVU ALIEUMIZWA ATATUMIWA NA THE STATE KUIPATA KATIBA MPYA KABLA YA UCHAGUZI MKUU!!

maagizo alipewa huyo unae imba sifa zake aanzishe mchakato wake 2022,yeeniuchaguzi wa juz wa S. Mitaa ungesbiri Hadi k.mpya ipatikane!ye akakaidi !Sasa chama chetu kitalazimishwa kitoe katiba mpya penda tusipende!!

Ujinga wetu ni mzigo!!
 
CCM kutoka madarakani ni hadi wanaCCM wenyewe wafarakane na sio vinginevyo. Hata nchi jirani walianza kugombana ndani ya vyama tawala ndo vikazaliwa vyama vingine. Mpinzani kama Kigaila anayesema hakuna haja ya ukomo wa uongozi anawezaje kuitoa CCM madarakani? Mpinzani kama Yericko anayemtukana kiongozi wake wa kitaifa hadharani anawezaje kuitoa CCM madarakani? ACHA KUJIDANGANYA.
 
Chama "kinampa" mtu uenyekiti na "kumnyima" mwingine. Kisha kinakuwa cha kiuwendawazimu!

Elimu ya demokrasia imeshindikana Tanzania. Tunaenda na dhana ya CCM ya "kugawa" au "kunyima" ubunge, uwakilishi na hata uRais kwa watu.

Mleta mada unaelewa kauli ya kuheshimu kura za wapiga kura? Unaelewa maana ya demokrasia? Hata siku moja wapiga kura hawawi wendawazimu. Wanaweza hata kukuchagua wewe binafsi kuwa Rais wa JMT na wasionekane wehu. Right?
 
Wenye utimamu wa akili hawawezi kumchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wao wa CHADEMA Taifa.
 
umesoma au Umesoma kwa Ufaham?

CCM itatoka madarakani , na atakaeitoa CCM madarakani sio chadema. Ni chama kingine cha siasa kitakachozaliwa

Aidha nakubaluana na wewe Chadema sio UPINZANI ni kikundi cha kupata ugali ndio mana hawaoni faida ya ukomo huku wanataka tume huru na katiba mpya

Genge la wahuni kama ilivo CCM
 
Hakuna wa kuitoa CCM madarakani leo wala kesho wala kesho kutwa wala mwaka wowote ule. Ni CCM mpaka Mwisho wa Dunia
 
Mim sijui siasa kabsa ila kama kweli chadema wanataka kurud kwenye game basi Lussi awe chair
 
Mim sijui siasa kabsa ila kama kweli chadema wanataka kurud kwenye game basi Lussi awe chair
Hiyo haiwezekani hata kidogo. Na siwezi kukushangaa kwa maoni yako maana umesema ya kuwa hujui siasa kabisa. Ungekuwa unaijua vyema siasa kama ambavyo mimi naijua basi usingeweza kumuunga mkono Lissu awe Mwenyekiti wa CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…