Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna chama kitakachozaliwa nje ya CCM kitaweza kuitoa madarakani. FUTA HIZO FIKRA ZAKO.
 
Hiyo haiwezekani hata kidogo. Na siwezi kukushangaa kwa maoni yako maana umesema ya kuwa hujui siasa kabisa. Ungekuwa unaijua vyema siasa kama ambavyo mimi naijua basi usingeweza kumuunga mkono Lissu awe Mwenyekiti wa CHADEMA
Nijuze kwanin hasiwe Lissu mana naona aa usubutusana and he is firm o issues.
 
You nailed it.
 
Hivi unaamini huko CCM kuko swari ki hivyo? Bora hawa wanaogombana hadharani ni rahisi kupima madhara na kuyakabili kuliko nyie mnaochimbana chini chini siku likigalambuka hamtaamini. Ni chawa tu ndiyo wanaompraise huyo Malkia kwa vile ni wanufaika wa moja kwa moja.
 
CCM ni salama sana na Amani imetawala vyema sana
 
CCM ni salama sana na Amani imetawala vyema sana
Lucas wewe ni mdogo sana na uko mbali sana hujui kinachoendelea bora ubaki kusifia tu kama kasuku maana ndiyo talanta yako. Wenye CCM yao wakikusoma wanakucheka kwa dharaaaau. Punguza ujuaji CCM ina wenyewe hii.
 
CCM ni ya wana CCM na hao ndio wenye CCM. CCM ni yetu na sisi ndio wenyewe wenye CCM yetu.
 
CCM ni ya wana CCM na hao ndio wenye CCM. CCM ni yetu na sisi ndio wenyewe wenye CCM yetu.
Ndiyo hapo unadhihirisha kuwa wewe bado ni kinda sana katika CCM kifupi huijui umebakia kuwa shabiki tu kama vile unapomkuta mtu wa Mbozi ambaye hajawahi hata kufika Mbeya mjini anakuwa shabiki na mfia timu ya Manchester City.
 
Acha ujinga wako dogo.sisi ndio wenye CCM na sisi ndio walinzi wa CCM yetu.
 
Acha ujinga wako dogo.sisi ndio wenye CCM na sisi ndio walinzi wa CCM yetu.
Wewe huko CCM ni kama toilet paper tu wenye CCM yao unawaona wakipiga kelele huku mitandaoni? Wewe unahangaika ingalao utupiwe makombo na hao wenye CCM yao kama mbwa koko tu.
 
Wewe huko CCM ni kama toilet paper tu wenye CCM yao unawaona wakipiga kelele huku mitandaoni? Wewe unahangaika ingalao utupiwe makombo na hao wenye CCM yao kama mbwa koko tu.
Kazi ya Mwanachama wa CCM ni kukipigania na kukitetea chama pamoja na kukisemea .hiyo ni kazi yangu ya kikatiba kabisa na halali kabisa isiyo hitaji malipo ya aina yoyote ile wala kutupiwa Makombo.
 
Umewahi kupata Malezi ya mama yako mzazi ?
Wewe umepata malezi ya mama mzazi ndiyo maana ni mpumbavu mimi nimepata malezi ya HAKI siyo ya mama kwanza siwezi kukubali. mama aniongoze labda nikiwa mchanga
 
Wewe Muongoze mkeo nyumbani, Lisu ataiongoza CDM hautaamini, Sasa kuna mambo mawili ya watu kuamua, either Lisu awe Mwenyekiti au vinginevyo asipokuwa Mwenyekiti basi CDM ife kabisa! Hayo ndio machaguo mawili Tu yaliyopo kwa sasa.

Kikubwa zaidi kwa sasa Lisu apewe Ulinzi thabiti.
 
ukiona unaungwa mkono na ccm jua tuuu haupo sawa, utakuwa kiazi mbatata
 
Kazi ya Mwanachama wa CCM ni kukipigania na kukitetea chama pamoja na kukisemea .hiyo ni kazi yangu ya kikatiba kabisa na halali kabisa isiyo hitaji malipo ya aina yoyote ile wala kutupiwa Makombo.
Wewe kazi yako ni uchawa tu ili uonwe, uzuri wamekupuuza ndiyo maana hadi leo unasugua bench.
 
Mimi siyo chawa ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo na chuki binafsi
Sina chuki na wewe chawa wala sina msongo wa mawazo maana siishi kwa kutegemea fadhila kama wewe unayeishi kwa kutegemea kutupiwa makombo na hao unaowasifia mchana kutwa usiku kucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…