Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chui anapomsifia swala,changanya na za kwako
 
Nilikuwa nakuheshim lkn kumbe ni zuzu mmoja
Wala haina sababu ya kuniheshimu bali jikite kwenye hoja zangu na siyo suala au habari ya kutaka kuniheshimu. Pia kutokuniheshimu kwako haipunguzi uzito wa hoja yangu wala kuongeza uzito wa hoja yako .lakini pia hakuna siku nimesema nahitaji heshima yako maana sikujiunga kwenye jukwaa hili kwa ajili ya kutafuta heshima yako.
 
Mbowe kiboko ya CCM hata Lucas Mwashambwa analijua hilo!
 
Haya maajabu ya Dunia: Hivi kweli leo Mh. Mbowe amekuwa kipenzi cha wana CCM...!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…