Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM wameungana kumtetea Mbowe
 
Unajionesha ulivyo sigara nyota Leo umekua Mshauri wa CHADEMA ambayo unasema Haina uhalali wa kuwepo kama chama Cha siasa? Ama kweli Lisu amekugusa kalio
 
#lucas Mwashambwa, wenye hekima tumekuelewa sana / mbowe si yupo mifukoni mwenu ni mwenenu acha kiingie kichwa kibaya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Huu Ndio ukweli, ni namna Gani Lisu atawatesa kitaifa na kimataifa Ndio changamoto ya kina Mwashambwa! Anaposema Lisu hana subira ni sababu kama umeiba atakuita mwizi sio mbadhirifu au umechukua bila Ridhaa, kama umekosea anakuambia wewe ni mjinga au mpumbavu!
 
Lissu hana uwezo wa kuongoza Taasisi na chama kama CHADEMA.lissu anapaswa kuongozwa na siyo kuongoza.
Wewe ni shanga za kiunoni!
Jiulize sana kwanini Huwa nakujibu hivi lia sio Kwa mtu mwingine, sio matusi Kwa sababu shanga zinaongeza utamu na Raha ya tendo la ngono hasa kwa wazinzi, Ndio mana Huwa Malaya wanazivaa sana wakati huu tofauti na zamani zilivaliwa na baadhi tu ya makabila kama sehemu ya utambilisho na mapambo! Mjinga wewe
 
Ukiona wapinzani wako wanakusagia kunguni ili usikipate unachokipigania ujue wewe unatisha mbele ya macho na fikra zao !
Na ukiona wapinzani wako wanakufagilia katika kile unachokipigania ujue walishakuona wewe ni Bure kabisa πŸ˜€πŸ˜…πŸ™Œ !
Iko vile 😳
 
Call spade a spade
Sio kijiko kikubwa !
 
Falsafa, Great Thinker!
 
Hahaha
Ushawahi kuona wapi shetani akahubiri uzuri wa Mbinguni?

Eneelea kujizombisha
An army of sheep led by a lion is better than an army of lions led by a sheep."

This quote emphasizes the importance of strong and effective leadership, highlighting that a capable leader can inspire and transform even the weakest group into a powerful force.

Unaweza ukaona watanzania Wengi wanahitaji an aggressive leader to awaken the Mwashambwa types ambazo hazitaki kufanya any kind of transformations to improve quality of life!
Watanzania wanahitaji kiongozi Amsha Amsha
Mana diplomasia imeshindikana!
Tunataka watu jeuri!
 
Umeandika upumbavu tupu. Hakuna aliye zaliwa na kuanza kutembea. Na kwanini uumie wewe ccm mambo ya chadema. Tuwaachie wemyewe na lissu anafaa na ana vigezo vyoote. Punguza upuuuziiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…