Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umeandika upumbavu tupu. Hakuna aliye zaliwa na kuanza kutembea. Na kwanini uumie wewe ccm mambo ya chadema. Tuwaachie wemyewe na lissu anafaa na ana vigezo vyoote. Punguza upuuuziiiii
Lissu hawezi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA
 
Ukweli usiopingika umeuweka hapa
 
CCM wanaipa ushauri CHADEMA! 😀😀😀😀😀😀😀
 
Ukweli usiopingika umeuweka hapa
Sahihi kaka! CCM wanajua kwamba Mbowe ni too diplomatic hata akiumizwa namna Gani! Lakini wao sio diplomatic, they are aggressive, therefore wanaogopa aggressive person akija, Kuna mwisho wa kuuwa na kutesa watu Kwa sababu tu wanataka uwajibikaji na usawa. Ni aibu Leo Lucas anamtetea Mbowe wakati alikua anakaza magego kuwa Mbowe ni undemocratic
 
Mnajiita Chama cha Demokrasia na Maendeleo hapo hapo hamtaki watu wengine wagombee wajua nyie Chadomo ni wabaya wenye njaa kali sana CCM inasubiri!!! Yaani nyie kweli mpewe nchi nyie fikiria mtu kama Ntobi au mayai sijui hao ndio wawe na maamuzi my foot bora tu CCM nyie hamtoshi kabisaa ni zero
 
Yaani mnatukana viongozi wenu wakuu mnasema ushenzi wote hamtoshi kabisa
 
Hapo kichaa utakuwa wewe
 
Ou
Out of context irrelevant contribution
 
Yeah kiongozi tunaye mtaka awe ile kama mbwai iwe mbwai barida
 
Yaani wapinzani wa chadema wanajua Lissu atawanyima usingizi. Nchi itachangamka kuliko wakati wowote.
 
Zidumu fikra za mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…