Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa mbona alipewa nafasi ya kugombea kutuongoza watanzania wote?
 
Sasa mbona alipewa nafasi ya kugombea kutuongoza watanzania wote?
Amuongoze mtanzania yupi? Ndio maana alinyimwa kura na ndio maana uliona hata Mbowe Mwenyewe alimuacha apuyange Mwenyewe na kuvuna aibu.maana hata Mbowe mwenyewe alijua lissu hana uwezo wa kuwa RAIS Wa Nchi hii
 
Mwamba atashinda na kupita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 
Umeandika hutuba ndefu sana., Swali ni je chadema kama Taasisi itaweza kuwa imara tena kwa yashayojiri kwa Mwenyekiti mbowe kutumiliwa na serikali na dalili za waziwazi kuhusu rushwa?
 
Ni suala la mùda tu CDM kuendelea na Mwamba kwa mitano mingime - Lissu ataamua mwenyewe kusepa ama kubaki hayo ni ya kwake.
 
Umeandika hutuba ndefu sana., Swali ni je chadema kama Taasisi itaweza kuwa imara tena kwa yashayojiri kwa Mwenyekiti mbowe kutumiliwa na serikali na dalili za waziwazi kuhusu rushwa?
Mbowe angetaka hela angezipata nyingi sana tena sana kipindi cha JIWE.
JIWE alitumia njia zote kumshawishi iliposhimdikana ndiyo akaamua kumkomoa kwa kuvunja mali zake, ku lock acc zake, kufyeka bustani zake za mboga mboga na kumfungukia kesi za Ugaidi.

Mwamba angekuwa anahitaji HELA angechukua muda huo huo tena za nje nje.

Mbowe kashavuka level ya kumdanganyia hela, kakua anaziona na bado anazo - hao wana siasa lia lia ndiyo wenye njaa hata kwa kauli zao zipo ki njaa njaa.

Mwamba ni mitano tena,

kama HUTAKI tukutane TLP.
 
Umeandika hutuba ndefu sana., Swali ni je chadema kama Taasisi itaweza kuwa imara tena kwa yashayojiri kwa Mwenyekiti mbowe kutumiliwa na serikali na dalili za waziwazi kuhusu rushwa?
Mbowe angetaka hela angezipata nyingi sana tena sana kipindi cha JIWE.
JIWE alitumia njia zote kumshawishi iliposhimdikana ndiyo akaamua kumkomoa kwa kujuma mali zake, ku lock acc zake, kufyeka bustani zake za mboga mboga na kumfungukia kesi za Ugaidi.

Mwamba angekuwa anahitaji HELA angechukua muda huo huo tena za nje nje.

Mbowe kashavuka level ya kumdanganyia hela, kakua anaziona na bado anazo - hao wana siasa lia lia ndiyo wenye njaa hata kwa kauli zao zipo ki njaa njaa. Ni hatari sana CDM chama kikuu cha upinzani nchini kuongozwa na mtu wa njaa njaa aka bakuli.

Mwamba ni mitano tena,

HUTAKI tukutane TLP
 
Wewe boflo unaikumbuka hii?
 
Attachments

  • Screenshot_20241218_213757.jpg
    195.1 KB · Views: 2
Kukataa hela kipindi cha Magu hakuna uhusiano na kukubali kipindi cha sasa,
Alivyoenda gerezani alirudi kivyengine, ilibidi afikie ikulu kabla hata kumuona mke wake na familia na baada ya hapo safari za ikulu hazikutindika akawa anaingia tu muda wote.

Mbowe aliyekuwa akijulikana kwa sifa ulizozitaja akawa siye tena, kwani nani angeweza kuamini kina halima mdee kwamba angefika bei, bulaya, kafulila, sijui nasary, moses, waitara, na wenzao tele na hata mchungaji msigwa nk? nani angeweza kuamini kilichotokea?

Kwaiyo ilikuwa ni suala la muda tu mkuu, muda ulifika kwa umuitae Mwamba ishara na dalili zote zipo uwanjani sasa, kila jambo lina muda wake, na kwa sababu hizo upande ule hawasikii hawaoni wanamtaka Mwamba wako aendelee kuwa Mwenyekiti ili biashara ya upinzani Tz tena iwe ni strori za kwenye makaratasi tu. Lissu anazo habari zote na hatamuacha lazima chama kama taasisi akiteme watu wapige kazi wapambane na ruba anayenyonya damu za watu
 
Watu wameshaamua watu ni zaidi ya serikali hata zaidi ya Mbowe au Lissu .

Hivyo sasa wewe ndio mwendawazimu kwa sasa.
 
Mkuu daaah... uwe unatuma na preamble asee au kasamari kafupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…