Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwanzo alikuwa anapigwa vita Mbowe,hamkutegemea Lissu angegombea Uenyekiti,sasa hamuamini,mmehamishia mashambulizi kwake
Funza wote wa Samia wamegeuka chawa wa Mbowe. Haya majitu ni takataka kwelikweli.
 
Lisu ndio chaguo la wengi wataka mabadiliko ya kweli
 
Leo hii huyu lissu ambaye alikuwa analia lia kila siku kudai hela zake za matibabu, mara stahiki zake za ubunge anaweza vipi kuvumilia kupoteza Mabilioni ya pesa, vitega uchumi na Biashara zake?
Haya sawa. Basi badilisheni hata jina la chadema, kiitwe CHAMAMBO (CHAma cha MAendeleo ya MBOwe).
 
Mtatulia tu, sasa hivi sio chama cha wachaga tena, na sio kwamba Mbowe anang'ang'ania madaraka. Ile dhana yenu kuwa cdm ni Saccos mtaikimbia safari hii. Tulieni tu bado hamjasema hadi mseme.
 
Kwahiyo unatoa ushauri bora kwa wana CDM, au unamuhofia Lissu? 🀣
 
Mtatulia tu, sasa hivi sio chama cha wachaga tena, na sio kwamba Mbowe anang'ang'ania madaraka. Ile dhana yenu kuwa cdm ni Saccos mtaikimbia safari hii. Tulieni tu bado hamjasema hadi mseme.
Mbowe Mwamba Mwenyewe ndiye kiongozi sahihi kuongoza CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…