Pre GE2025 Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukweli ni kwamba MBOWE Bado anahitajika sana kln ata lisu anahitajika kwa nafasi ya makamu wa mwenyekiti
 
Siwezi kudharau maoni yako wala sitapitia comment nyingine kama umekwisha jibu ila mimi nina swali kwako tu, Je kwanini umeona hivyo?
 
Chadema ni nini isiongozwe mkuu pana nini kinafanywa hapo Chadema mambo ya akili usiyazungumzie tuzungumzie hoja uliyoileta maana ukitaka tuchambue akili zetu anzisha uzi mwingine..
Mimi nimesema kwa hoja kabisa kuwa Lissu hawezi kuongoza CHADEMA.kwa hiyo na wewe kama unaona sipo sahihi ulitakiwa unipinge kwa hojaπŸ˜€πŸ˜€
 
Siwezi kudharau maoni yako wala sitapitia comment nyingine kama umekwisha jibu ila mimi nina swali kwako tu, Je kwanini umeona hivyo?
Kwa sababu nawafahamu vyema viongozi wote wawili na nimefuatilia na kurejea historia ya kila mmoja katika siasa za Nchi hii
 
Itakuwa ni uwendawazimu kwa watanzania kuchagua Jimama na kuacha kuwapa wagombea wengine miamba. Wewe jinga kufa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Kwa sababu nawafahamu vyema viongozi wote wawili na nimefuatilia na kurejea historia ya kila mmoja katika siasa za Nchi hii
Sawa Lucas vizuri sana mkuu wangu kama umefanya tafiti hiyo na kugundua kitu ambacho wengi hawajui, kwani mbowe ndiye kiongozi pekee ambaye anaimudu CHADEMA kuliko wengine katika siasa?
 
Naheshimu mawazo yako . Lakini nikuulize lini umekuwa mshauri kwa cdm? Lini umekuwa mwema kiasi cha kuishauri cdm? Si nyie ccm na genge lenu mnasemaga humu jf cdm ishajifia? Hakika hata hujui unataka nini luca the great lice. Nadhani una ugua dementia au una depression. Acha cdm ijifie ili nafsi yako ifarijike. Usiwashwe na cdm affairs. Acha wafu tuzikane. Mbona ujahoji chama chenu hakina deputy?
 
Hivi unafahamu ya kuwa CHADEMA inapokea Ruzuku ambayo inatokana na kodi yangu?
 
#lucas Mwashambwa, wenye hekima tumekuelewa sana / mbowe si yupo mifukoni mwenu ni mwenenu acha kiingie kichwa kibaya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Dawa ya jeuri ni jeuri mwenzake. Busara za Mbowe ni kama upuuzi kwa ma-ccm. Acha chuma kichukue uwenyekiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…