Itakuwa poa msimbazi tukifanya usajili huu

Mnyiramba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,141
Reaction score
3,119
Binafsi nitafurahi Simba SC tukimsajili Saidi Ntibazonkiza!, wakikaa pale na chama tunakuwa na namba 10 wawili hatari!, hata siku chama amekosekana no problem!

Wachezaji hawa pia wakiondoka simba nitafurahi sana maana ni mizigo hawana mchango kwenye timu

1: Gadiel Michael (ameshindwa kabisa ku challenge Mohamed hussen)
2: Erasto Nyoni sijui anafanya nini pale msimbazi hadi sasa!
3: Victor Akpan uwezo wake bado hataisaidia Simba kwa vyovyote!
4: Nelson Okwa pesa pale imepotea tu bure hana maajabu ni mzigo tu!
5: Kibu Denis mwamba ana nguvu kweli kweli ila akili kisoda [emoji276]
Hao ndio wachezaji 5 ningependa kuona wanatupisha pale msimbazi ili waje watu wa kuisaidia timu
 
Ongeza Mkude na Boko, Neno, Mwanuke, kyombo aende mkopo, Okwa anaweza ila kocha anambania sana Mgunda anaupendeleo sana kama Gomes
 
Mimi naona timu ipo vizuri tu. Hivyo hakuna sababu ya kusajili wachezaji wengine. Mfano Gadiel Michael tumeanza kumsogeza taratibu kwenye benchi la ufundi! Naamini miaka ijayo atatusaidia sana kwenye hicho kitengo.
 
acha inyeshe tuone panapo vuja
 
Mpaka leo sijui najionea majungu tu kwake
Vinginevyo walimu, waseme tu wameshindwa kumtumia.
Jamaa kibongo bongo ni most completed namba 8, hasa kkwa timu inayopenda kumiliki mpira.

1. Ana ball control, game control sio km kibu
2. Anajua kupiga pasi, anajua kupasia, pass
accuracy yake nzuri
3. Ana skills 1vs1 hata wawili anawachukua
4. Ana utrack mpira, kila muda anaufata aucheze, pale kati anazunguruka tu, kuusaka na kuusambaza.
5. Anacheza na kulekeza.

6,7,8,9.......... Nakadhalika.

Kifupi jamaa ni fundi tuambiwe ni majeruhi, au mtovu wa nidhamu sawa hatupingi, ila wasituambie hajui mpira, die wachezaji wabovu tunawajua.
 
Mimi naona timu ipo vizuri tu. Hivyo hakuna sababu ya kusajili wachezaji wengine. Mfano Gadiel Michael tumeanza kumsogeza taratibu kwenye benchi la ufundi! Naamini miaka ijayo atatusaidia sana kwenye hicho kitengo.
Kitengo mama cha ulozi aka usangoma, hizi ndiyo Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC, Punda FC, Bwimbwi FC wanazimudu sana.
 
Ile gorofa yako moja umefikia wapi

Nimrikuta moja inajengwa mahali huku mkalama nikakukumbuka
 
Broo acha utani Gadiel huyuhuyu?.........na miaka ijayo ni ipi ?
Sasa mbona wameshaanza tayari kumrithisha mikoba! Mfano kwenye mechi iliyopita waliyocheza pale kwa Mkapa, huyo Gadiel Michael alitumwa na Wazee kwenda kukagua uwanja kabla ya mchezo wao Ligi kuu! 😃
 
mimi binafsi napendekeza wa ndani wasajiliwe wacheza hawa👉Kichuya,Duchu,Lusajo,Mudathir Yahya.

wachezaji wa nje👉Lobi Manzoki au namba tisa yeyote mwenye uwezo wa kufunga kila anapopata nafasi,Kiungo mkabaji(half back six),Center half Narthan Idumba au beki mwingine mzuri wa kati.beki wa kushoto wa kumsaidia Tshabalala.

Wakuachwa wa kwanza baba maguvu Kibu,Nyoni,Momo,Akpan.

wakuwatoa kwa mkopo Gadiel,Boco,Mkude.

Okwa abaki akipona majeraha atakiwasha vizuri tu
 

Utakuwa umemtazama YouTube,sisi tuliomuona live akicheza ni mapacha kabisa na Kibu Denis
 
[emoji1787][emoji1787]Hapo wa kutoa kwa mkopo Ni wawili tu Mwanuke na Kyombo wengine Ni kuwatimua tu hata bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…