Itakuwa poa msimbazi tukifanya usajili huu

Itakuwa poa msimbazi tukifanya usajili huu

Huyu Saido mliyeita mzee akiwa yanga??, Saido na Bocco utofauti wao Nini?.

Number huwa hazidanganyi mkuu fanya ufanyavyo lkn namba haziongopi
 
Sasa mbona wameshaanza tayari kumrithisha mikoba! Mfano kwenye mechi iliyopita waliyocheza pale kwa Mkapa, huyo Gadiel Michael alitumwa na Wazee kwenda kukagua uwanja kabla ya mchezo wao Ligi kuu! [emoji2]

Mbona husemi kuwa feisal ndio mshika hirizi wa yanga,lazima awepo mtu wa kuwa front
 
mimi binafsi napendekeza wa ndani wasajiliwe wacheza hawa[emoji117]Kichuya,Duchu,Lusajo,Mudathir Yahya.

wachezaji wa nje[emoji117]Lobi Manzoki au namba tisa yeyote mwenye uwezo wa kufunga kila anapopata nafasi,Kiungo mkabaji(half back six),Center half Narthan Idumba au beki mwingine mzuri wa kati.beki wa kushoto wa kumsaidia Tshabalala.

Wakuachwa wa kwanza baba maguvu Kibu,Nyoni,Momo,Akpan.

wakuwatoa kwa mkopo Gadiel,Boco,Mkude.

Okwa abaki akipona majeraha atakiwasha vizuri tu

Toa wote hao ila wasimguse okwa na bocco ..na hawawezi kuwatoa hao wawili
 
mimi binafsi napendekeza wa ndani wasajiliwe wacheza hawa[emoji117]Kichuya,Duchu,Lusajo,Mudathir Yahya.

wachezaji wa nje[emoji117]Lobi Manzoki au namba tisa yeyote mwenye uwezo wa kufunga kila anapopata nafasi,Kiungo mkabaji(half back six),Center half Narthan Idumba au beki mwingine mzuri wa kati.beki wa kushoto wa kumsaidia Tshabalala.

Wakuachwa wa kwanza baba maguvu Kibu,Nyoni,Momo,Akpan.

wakuwatoa kwa mkopo Gadiel,Boco,Mkude.

Okwa abaki akipona majeraha atakiwasha vizuri tu
Mnapanga usajili wa maana utadhani mna hela ya kusajili, hujui kuwa Kanjibai kaishajitoa kuhudumia timu
 
Mimi naona timu ipo vizuri tu. Hivyo hakuna sababu ya kusajili wachezaji wengine. Mfano Gadiel Michael tumeanza kumsogeza taratibu kwenye benchi la ufundi! Naamini miaka ijayo atatusaidia sana kwenye hicho kitengo.
😂😂😂
 
Back
Top Bottom