Itakuwa poa msimbazi tukifanya usajili huu

Huyu Saido mliyeita mzee akiwa yanga??, Saido na Bocco utofauti wao Nini?.

Number huwa hazidanganyi mkuu fanya ufanyavyo lkn namba haziongopi
 
Sasa mbona wameshaanza tayari kumrithisha mikoba! Mfano kwenye mechi iliyopita waliyocheza pale kwa Mkapa, huyo Gadiel Michael alitumwa na Wazee kwenda kukagua uwanja kabla ya mchezo wao Ligi kuu! [emoji2]

Mbona husemi kuwa feisal ndio mshika hirizi wa yanga,lazima awepo mtu wa kuwa front
 

Toa wote hao ila wasimguse okwa na bocco ..na hawawezi kuwatoa hao wawili
 
Mnapanga usajili wa maana utadhani mna hela ya kusajili, hujui kuwa Kanjibai kaishajitoa kuhudumia timu
 
Mimi naona timu ipo vizuri tu. Hivyo hakuna sababu ya kusajili wachezaji wengine. Mfano Gadiel Michael tumeanza kumsogeza taratibu kwenye benchi la ufundi! Naamini miaka ijayo atatusaidia sana kwenye hicho kitengo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…