Itakuwa Simba ya ajabu!!!!

Unataka usajiri wakuziba sura kwa emoji uku wakisahau ku crop ili viatu na jeans visionekane.

Mnyama hana papara kabisa yupo mawindoni
 
Simba safari hiibinawatesa watu , sio wanahabari wala vyura
 

Tumia akili
 
Write your reply...Hizi timu zetu magumashi yamezidi Sana
 
Alunta continua..
Kilomoni the master v/s Mo dewji.
Mpaka kieleweke.

Mmoja kashika makaratasi, mwingine kashika pesa.
 
Tarehe 30 June no mwisho was TFF kuwasilisha timu shiriki CAF sio mwisho wa timu kupeleka majina ya usajiri
Kwa iyo wanawasilisha majina ya timu bila kujua kama ina wachezaji.

Sasa ni timu au jina tupu.

Ili iitwe team ni lazima kuwe na watu ndani yake...

Hakuna utaratibu wa kuwasilisha team bila wachezaji.

Usilete usimba usimba.
 
Kwa iyo wanawasilisha majina ya timu bila kujua kama ina wachezaji.

Sasa ni timu au jina tupu.

Ili iitwe team ni lazima kuwe na watu ndani yake...

Hakuna utaratibu wa kuwasilisha team bila wachezaji.

Usilete usimba usimba.
Hahaha..Tarehe 30 nikuhakiki timu tuu, usajiri bado unaendelea...we jiulize Yani usajiri uishe kabla ya mashindano ya AFCON wachezaji wanashiriki mikataba anasaini Nani? Halafu hizi ni Sheria za CAF shirikisho husika wanapeleka timu zinazoshiriki, Kama Kuna mabadiliko ya viwanja vya kuchezea wanawasilisha na CAF wanakuja kuvikagua kama Kuna vigezo haya Mambo ya soka letu la Africa
 
Viwanja Kama Kuna mabadiliko ndio wanakuja kuvikagua
 
Timu inahakikiwa vipi mkuu??
 
Timu inahakikiwa vipi mkuu??
CAF wameipa Tanzania nafasi 4 ila CAF hizo timu ukiacha bingwa zengine hawazijui kwa maana Chama Cha soka Kuna Sheria zao wanazotumia kupata wawakilishi kwaio Hadi hiyo Tarehe 30 wawe washapeleka majina wa hizo timu
 
Kuna mengi yanaendelea ila kwa siri sana. Meda nyingi za bongo ni za waandishi uchwara tu. Simba inasajili na watasajili wengine. Gakumba katumwa Misri kutafuta Attacker mwingine.

Usishtushwe na jina la Bwaly, simba inahitaji wachezaji wazuri sio wachezaji wa gharama.

Si unaona Zamaleki walitaka kuondoka na Kagere? Simba inajengwa tena kwa ajili ya ushindani zaidi ya leo. Usishtushwe na mtani Chura
Sawa kiongozi mm ni mwekundu mwenzako lkn embu tusubir saa 7 leo.
 
Alunta continua..
Kilomoni the master v/s Mo dewji.
Mpaka kieleweke.

Mmoja kashika makaratasi, mwingine kashika pesa.
Kama kilomoni ana nguvu aende mahakamani basi. Kuna kitu hapa bado hatujaelewa kwa jinsi ambavyo simba inapoelekea.

Watu wasiokuwa na elimu watakosa mpunga! Na hiko ndicho kinachowafanya wakina Kilomoni wapige kelele kama chura kwa kuzua maneno ya taharuki.

Huwezi endesha timu kibiashara ukiwa na unskilled labour, watu wasiojua soka la kibiashara linaendaje. Simba sio azam pale.

Azam wanaletana letana tu kula futari na ice cream za Mjomba bakhresa.

Na bado sana, wengi watatimuliwa kiaina aina pale ili timi ibadilike. Haiwezekani timu kuwa na viongozi wasio na kazi alafi walipwe.
 
Mkuu Mo hajaweka hiyo hela,nyie mnakopeshwa tu baadaye mkiambiwa ameshatumia billion 15 msishtuke
 
Alunta continua..
Kilomoni the master v/s Mo dewji.
Mpaka kieleweke.

Mmoja kashika makaratasi, mwingine kashika pesa.
Hapa ndio utaelewa mtoto wa Mjini ni yupi,yule mwenye pesa anaejenga kwenye kiwanja cha mtu pasipo kuwa na Hati mkononi au yule mwenye makaratasi mkononi huku akimcheki yule mwenye pesa anaejenga kwenye kiwanja chake.
 
Aaah aaah ushabiki mwingi saana hadi unachangnya habari...

Sasa unasema mzee kilomoni aende mahakaman!!

Akafanye nin?

Yeh hanaga shida na mtu na hakuna anayemshtka...

Suala la kuendesha mambo kitaalamu ndilo linalowacoast... Mnapigwa pesa kifala ... Timu kama simba ilivyo na wanachama kibao na miradi kibao.

Unaimilikisha vipi kwa 20B, ni pesa ndogo saana iyo braza... Tamaa tu ndio zinawaponza.
 
CAF wameipa Tanzania nafasi 4 ila CAF hizo timu ukiacha bingwa zengine hawazijui kwa maana Chama Cha soka Kuna Sheria zao wanazotumia kupata wawakilishi kwaio Hadi hiyo Tarehe 30 wawe washapeleka majina wa hizo timu
Huku kote naelewa... Mi nataka unieleweshe timu inakaguliwa vipi???
 
Huku kote naelewa... Mi nataka unieleweshe timu inakaguliwa vipi???
Timu haikaguliwi nlikosea,viwanja ndio vnakaguliwa mbona nilireiebisha....halafu Kama huko unaelewa mbona hoja yako ingekua ishaisha
 
Timu haikaguliwi nlikosea,viwanja ndio vnakaguliwa mbona nilireiebisha....halafu Kama huko unaelewa mbona hoja yako ingekua ishaisha
Sasa we unasema ulikosea alafu unasema mjadala ungekuwa ushaisha...

Turudi sasa kwenye topic kuu.

Kwa iyo... Iyo tareh 30 wanaenda kuwasilisha nin??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…