Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bond ya bil 20 sijaona imefanya chochote hd leo.30/6/2019 ni siku ya mwisho kuwasilisha majina Caf.Hadi leo simba haijasajili mchezaji wa nje.James kotei jatima yake haijulikani, Haruna kimy hd leo mtasajili lini na bado zimebaki siku kumi.
Tunasikia danadana tu ya akina bwalya na moon kama huyo moon hakuna kitu sidhani kama ni chaguo na Aussem yanga kwa kweli wamejitahidi sana mwaka huu .Kwa imani itakuwa simba ya ajabu sana mwaka huu.
Sawa kiongzTumia akili
Kwa iyo wanawasilisha majina ya timu bila kujua kama ina wachezaji.Tarehe 30 June no mwisho was TFF kuwasilisha timu shiriki CAF sio mwisho wa timu kupeleka majina ya usajiri
Hahaha..Tarehe 30 nikuhakiki timu tuu, usajiri bado unaendelea...we jiulize Yani usajiri uishe kabla ya mashindano ya AFCON wachezaji wanashiriki mikataba anasaini Nani? Halafu hizi ni Sheria za CAF shirikisho husika wanapeleka timu zinazoshiriki, Kama Kuna mabadiliko ya viwanja vya kuchezea wanawasilisha na CAF wanakuja kuvikagua kama Kuna vigezo haya Mambo ya soka letu la AfricaKwa iyo wanawasilisha majina ya timu bila kujua kama ina wachezaji.
Sasa ni timu au jina tupu.
Ili iitwe team ni lazima kuwe na watu ndani yake...
Hakuna utaratibu wa kuwasilisha team bila wachezaji.
Usilete usimba usimba.
Viwanja Kama Kuna mabadiliko ndio wanakuja kuvikaguaHahaha..Tarehe 30 nikuhakiki timu tuu, usajiri bado unaendelea...we jiulize Yani usajiri uishe kabla ya mashindano ya AFCON wachezaji wanashiriki mikataba anasaini Nani? Halafu hizi ni Sheria za CAF shirikisho husika wanapeleka timu zinazoshiriki, Kama Kuna mabadiliko ya viwanja vya kuchezea wanawasilisha na CAF wanakuja kuvikagua kama Kuna vigezo haya Mambo ya soka letu la Africa
Timu inahakikiwa vipi mkuu??Hahaha..Tarehe 30 nikuhakiki timu tuu, usajiri bado unaendelea...we jiulize Yani usajiri uishe kabla ya mashindano ya AFCON wachezaji wanashiriki mikataba anasaini Nani? Halafu hizi ni Sheria za CAF shirikisho husika wanapeleka timu zinazoshiriki, Kama Kuna mabadiliko ya viwanja vya kuchezea wanawasilisha na CAF wanakuja kuvikagua kama Kuna vigezo haya Mambo ya soka letu la Africa
CAF wameipa Tanzania nafasi 4 ila CAF hizo timu ukiacha bingwa zengine hawazijui kwa maana Chama Cha soka Kuna Sheria zao wanazotumia kupata wawakilishi kwaio Hadi hiyo Tarehe 30 wawe washapeleka majina wa hizo timuTimu inahakikiwa vipi mkuu??
Sawa kiongozi mm ni mwekundu mwenzako lkn embu tusubir saa 7 leo.
Kama kilomoni ana nguvu aende mahakamani basi. Kuna kitu hapa bado hatujaelewa kwa jinsi ambavyo simba inapoelekea.Alunta continua..
Kilomoni the master v/s Mo dewji.
Mpaka kieleweke.
Mmoja kashika makaratasi, mwingine kashika pesa.
Mkuu Mo hajaweka hiyo hela,nyie mnakopeshwa tu baadaye mkiambiwa ameshatumia billion 15 msishtukeBond ya bil 20 sijaona imefanya chochote hd leo.30/6/2019 ni siku ya mwisho kuwasilisha majina Caf.Hadi leo simba haijasajili mchezaji wa nje.James kotei jatima yake haijulikani, Haruna kimy hd leo mtasajili lini na bado zimebaki siku kumi.
Tunasikia danadana tu ya akina bwalya na moon kama huyo moon hakuna kitu sidhani kama ni chaguo na Aussem yanga kwa kweli wamejitahidi sana mwaka huu .Kwa imani itakuwa simba ya ajabu sana mwaka huu.
Hapa ndio utaelewa mtoto wa Mjini ni yupi,yule mwenye pesa anaejenga kwenye kiwanja cha mtu pasipo kuwa na Hati mkononi au yule mwenye makaratasi mkononi huku akimcheki yule mwenye pesa anaejenga kwenye kiwanja chake.Alunta continua..
Kilomoni the master v/s Mo dewji.
Mpaka kieleweke.
Mmoja kashika makaratasi, mwingine kashika pesa.
Aaah aaah ushabiki mwingi saana hadi unachangnya habari...Kama kilomoni ana nguvu aende mahakamani basi. Kuna kitu hapa bado hatujaelewa kwa jinsi ambavyo simba inapoelekea.
Watu wasiokuwa na elimu watakosa mpunga! Na hiko ndicho kinachowafanya wakina Kilomoni wapige kelele kama chura kwa kuzua maneno ya taharuki.
Huwezi endesha timu kibiashara ukiwa na unskilled labour, watu wasiojua soka la kibiashara linaendaje. Simba sio azam pale.
Azam wanaletana letana tu kula futari na ice cream za Mjomba bakhresa.
Na bado sana, wengi watatimuliwa kiaina aina pale ili timi ibadilike. Haiwezekani timu kuwa na viongozi wasio na kazi alafi walipwe.
Huku kote naelewa... Mi nataka unieleweshe timu inakaguliwa vipi???CAF wameipa Tanzania nafasi 4 ila CAF hizo timu ukiacha bingwa zengine hawazijui kwa maana Chama Cha soka Kuna Sheria zao wanazotumia kupata wawakilishi kwaio Hadi hiyo Tarehe 30 wawe washapeleka majina wa hizo timu
Timu haikaguliwi nlikosea,viwanja ndio vnakaguliwa mbona nilireiebisha....halafu Kama huko unaelewa mbona hoja yako ingekua ishaishaHuku kote naelewa... Mi nataka unieleweshe timu inakaguliwa vipi???
Sasa we unasema ulikosea alafu unasema mjadala ungekuwa ushaisha...Timu haikaguliwi nlikosea,viwanja ndio vnakaguliwa mbona nilireiebisha....halafu Kama huko unaelewa mbona hoja yako ingekua ishaisha