Miaka kadhaa takwimu zinaonyesha kuwa Simba imekuwa ikiinyanyasa sana Yanga kwa kuifunga idadi kubwa ya magoli hadi goli tano.
Yanga ilikuwa ikishinda unakuta ni kagoli kamoja tu au viwili. Yanga ikampata Gamondi aliyekuja na kufanikiwa kuifunga Simba goli tano(5).
Nadhani kikosi kazi cha Simba kimekaa chini na kufanikisha clandestine Operation ya kumuondoa Gamondi na katika hili tayari wamefanikiwa pakubwa bila yanga kujua. kwenye masuala ya ujasusi simba wapo juu sana kuliko yanga.
Nadhani itachukuwa miaka 30 Yanga kuifunga tena Simba goli tano