eastmea
Senior Member
- Jul 28, 2018
- 159
- 133
Ndugu wanajamii forums kwa upepo ninavyouona hawa wamiliki wa clouds watamuomba msamaha diamond maana wananchi wanawaona wanafiki hata kama wanafanya kitu cha maana hii ni kutokana na mabifu yao ya kijinga
Siku za nyuma jamaaa walitangaza lile tamasha lao ambalo ndio tamasha pendwa Tanzania lakini wananchi hata hawashtuki tofauti na miaka ya nyuma hii ni kutokana na kuweka beef na mtu mwenye mashabiki wengi Africa mashariki (diamond)
Nimejaribu kupitia uwanja wa maoni hii ni baada ya jamaaa kutangaza tamasha lao
Kwa ushsuri wangu nawaomba wamalize tofauti zao maana hili beef linawaathili wote kwa namna yake
Hebu toa maoni yako juu ya hiki unachokiaonaView attachment 879799