Itakuwaje Clouds wakimuomba msamaha Diamond

eastmea

Senior Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
159
Reaction score
133
Ndugu wanajamii forums kwa upepo ninavyouona hawa wamiliki wa clouds watamuomba msamaha diamond maana wananchi wanawaona wanafiki hata kama wanafanya kitu cha maana hii ni kutokana na mabifu yao ya kijinga
Siku za nyuma jamaaa walitangaza lile tamasha lao ambalo ndio tamasha pendwa Tanzania lakini wananchi hata hawashtuki tofauti na miaka ya nyuma hii ni kutokana na kuweka beef na mtu mwenye mashabiki wengi Africa mashariki (diamond)
Nimejaribu kupitia uwanja wa maoni hii ni baada ya jamaaa kutangaza tamasha lao
Kwa ushsuri wangu nawaomba wamalize tofauti zao maana hili beef linawaathili wote kwa namna yake

Hebu toa maoni yako juu ya hiki unachokiaonaView attachment 879799
Screenshot_20180927-233442.jpg
Screenshot_20180927-233421.jpg
Screenshot_20180927-233410.jpg
 
Hawawezi muomba msamaha, Clouds watafanikisha hizi show even without Diamond/WCB maana hata last year hawakushiriki kivile ukiondoa Rayvanny aliyefanya kama show 2. Hata WCB ikiandaa tamasha pia watafanikisha coz wana mtaji mkubwa wa mashabiki. Tuwasapoti wote maana kukiwa na ushindani ndo vizuri hata wasanii wanaoshiriki kwenye show watanufaika
 
Umeogea vizuri sana
 
Sawa ila tambua aombae msamaha sio kwamba anamaanisha hutafuta njia ya kukuangamiza kabisa
 
Hao wote wanajuana wapo kibiashara,na kibongo bongo bifu ndo zinawasaidia
 
Fiesta safari hii inaenda kujaribu kuuza brand yake, kibiashara inaitwa ku-take risk. Kama kuna mtu ataenda basi hatofata wasanii bali brand ya fiesta... Naamini watapata watu japo haitakuwa kama tulivyozoea. Ila kama ni wafanyabiashara wazuri kuna somo kubwa watajifunza.. Nakumbuka Diamond alisema " tusiupeleke muziki kwa mazoea ".
 
Tamasha la mwaka huu clouds wanatapatapa mpaka huruma,in short infiriorty complex imewakumba mpaka kuwatafuta kina DJ Fetty mafuvu DJ na ukiangalia kila kona wasanii wanaotamba no hawa WCB na wao wanawaletea watu list ya wasanii wa kawaida sana this time kwa kweli wakubali hasara kubwa kwa kutumia gharama kubwa mavuno kiduchu
 
Na siku hizj wasanii hawaogopi Clouds tena,pamoja na bifu lao na WCB kuwa wazi lakini bado wasanii wanashirikiana na WCB,kolabo Benpol na Harmonize,Navykenzo na Diamond,Dully Sykes na Harmonize,Rayvan na Nick wa pili, Rayvan na Izzo B,Country boy,Young D,Rosa ree,Godzilla.Ni kielelzo kuwa Clouds siyo tishio tena kwa wasanii au wasanii wameanza kujielewa.
 
Hawawezi muomba msamaha, Clouds watafanikisha hizi show even without Diamond/WCB maana hata last year hawakushiriki kivile ukiondoa Rayvanny aliyefanya kama show 2. Hata WCB ikiandaa tamasha pia watafanikisha coz wana mtaji mkubwa wa mashabiki. Tuwasapoti wote maana kukiwa na ushindani ndo vizuri hata wasanii wanaoshiriki kwenye show watanufaika
Ila unapaswa utambue mwaka Jana hizi beef zilikuwa hazijabamba kama mwaka huu afu watu tulikuwa tunahudhulia kwenye matamasha tulikuwa hatujui mchezo unavyoenda tofauti na sahiv mambo yapo waziwazi. Alafu kukosa watu hawawezi kukosa ila itakuwa sio wengi kulinganisha na mwaka Jana
 
Sawa ila tambua aombae msamaha sio kwamba anamaanisha hutafuta njia ya kukuangamiza kabisa
Kweli kabisa na ndio maana niliona babu tale aliwapiga kabisa marufuku kutoa habar yeyote anayowahusu wcb
 
Fiesta safari hii inaenda kujaribu kuuza brand yake, kibiashara inaitwa ku-take risk. Kama kuna mtu ataenda basi hatofata wasanii bali brand ya fiesta... Naamini watapata watu japo haitakuwa kama tulivyozoea. Ila kama ni wafanyabiashara wazuri kuna somo kubwa watajifunza.. Nakumbuka Diamond alisema " tusiupeleke muziki kwa mazoea ".
Daaah game inazidi kuwa ngumu sahiv hata wasanii underground kuchipukia inakuwa ni ngumu
 
Ndugu wanajamii forums kwa upepo ninavyouona hawa wamiliki wa clouds watamuomba msamaha diamond maana wananchi wanawaona wanafiki hata kama wanafanya kitu cha maana hii ni kutokana na mabifu yao ya kijinga
Siku za nyuma jamaaa walitangaza lile tamasha lao ambalo ndio tamasha pendwa Tanzania lakini wananchi hata hawashtuki tofauti na miaka ya nyuma hii ni kutokana na kuweka beef na mtu mwenye mashabiki wengi Africa mashariki (diamond)
Nimejaribu kupitia uwanja wa maoni hii ni baada ya jamaaa kutangaza tamasha lao
Kwa ushsuri wangu nawaomba wamalize tofauti zao maana hili beef linawaathili wote kwa namna yake

Hebu toa maoni yako juu ya hiki unachokiaonaView attachment 879799View attachment 879800View attachment 879801View attachment 879802
maneno tu hayo wataenda Fiesta kama kawa kila mwaka ikifanyika watu wanaiponda kama kawa na mpaka sasa inazidi kusonga tu Budget ya tigo inajitoshereza
 
Hawawezi muomba msamaha, Clouds watafanikisha hizi show even without Diamond/WCB maana hata last year hawakushiriki kivile ukiondoa Rayvanny aliyefanya kama show 2. Hata WCB ikiandaa tamasha pia watafanikisha coz wana mtaji mkubwa wa mashabiki. Tuwasapoti wote maana kukiwa na ushindani ndo vizuri hata wasanii wanaoshiriki kwenye show watanufaika
Umeongea point sana yaani niburudani yasiku 1 tu tena Katika mwaka kwahiyo ikiongezeka WCB festival tayari burudani zinakuwa mbili zakufanana ila kwasiku tofauti kwahiyo kila mtu atavuna kwasiku yake naataburudisha kwasiku yake
 
Fiesta ipo kabla ya mondi,na ukumbuke tu clouds ilikuwepo kipindi hicho ata kabla ya diamond hajawa underground.nobody is bigger than mawingu.naipenda clouds ,naipenda fiesta
Ukwel ni mchungu ila sahiv clouds wamekuwa wa kawaida sana tofauti na zamani kipindi ambacho waliweza kuwapoteza wasanii nguli kama sugu , dudu baya nk. Ila sahivi wameshindwa kumpoteza huyu mtandale na imewafanya wasanii wengine kujiamini tofauti na zamani ambapo wasanii walikuwa hawana Uhuru wa kuongea wakihofia kupotezwa kwenye game
 
Back
Top Bottom