Itakuwaje Dr Slaa asipochaguliwa kuwa rais? Agombee uspika? ili kuendelea kutetea wanyonge bungeni? Aelekeze nguvu kwenye chama ili ifikikapo 2015 Chadema kiwe imara zaidi?
Najiuliza tu nini hatima ya 'bwana silaha' kwani nadhani waTZ tunamuhitaji huyu bwana kuendelea kuleta chachu ya maendeleo.

Itasababisha yaliyotokea kenya baada ya uchaguzi yatokee na huku Tanzania,halafu tutasuluhishwa na kuunda serikali pamoja na baadae tutabadili katiba kama tanzania visiwani.
binafsi, siamini kama Dr Slaa atashinda mwaka huu,maana Chadema hawakuwa wamejiandaa kau kumwandaa slaa kimkakati agombee urais, na kama maelezo yanayotolewa kuwa alilazimishwa ni sahihi basi timing ya yeye kuingia kwenye kinyang'anyiro ilikuwa somehow too late. hili linatokana na kuwa asilimia kubwa ya watanzania wanakaa vijijini,bado hawana ufahamu wa kutosha na pia hawamjui kiundabi slaa, achana na wale walio kwenye miji midogo yenye maingiliano ya kibiashara na kuwa na makabila mchanganyiko, huko upinzani una nguvu.
lakini binafsi naamini bado uamuzi wa dr slaa kugombea mwaka huu ulikuwa sahihi maana anajitangaza zaidi ili come 2015 awe anafahamika zaidi,pia iwapo atashindwa urais na kubakia kuwa kiongozi wa chama,naamini atjitahidi kujenga chama kiwe na nguvu zaidi kwenye grtassroot kuliko juu tu,naamini atjitahidi kuelimisha watanzania kupitia operesheni mbalimbali. kwenye operesheni zilizopita mbowe alikuwa ndi akiziongoza lakini hajagombea urais so naamini iwapo operesheni zijazo akiziongoza slaa kisha yeye mwenyewe akigombea 2015 ukijumlisha kuwa mwaka 2015 sidhani kama CCM watakuwa na kiongozi madhubuti anayechagulika kuwa rais ,basi ushindi unaweza kuwa wa upinzani
Itakuwaje Dr Slaa asipochaguliwa kuwa rais? Agombee uspika? ili kuendelea kutetea wanyonge bungeni? Aelekeze nguvu kwenye chama ili ifikikapo 2015 Chadema kiwe imara zaidi?
Najiuliza tu nini hatima ya 'bwana silaha' kwani nadhani waTZ tunamuhitaji huyu bwana kuendelea kuleta chachu ya maendeleo.
'Nayaweza yote katika yeye anitiae nguvu,' 'kila muombalo aminini mmesha pata,' naamini kabisa kuwa mwaka huu ni wetu na Drm wa kweli mwana wa mageuzi ya kweli, na slaha ya kweli ni watu lkn kiongozi mkuu wa slaha hiyo ni Mungu alie hai anaeona mateso ya TZ wanaokandamizwa na akina manyuzi ya katani wakidhani hakuna tena, let our beloved Gog decide on this matter,He made the weak man to rule why not Dr. for the poeple of TZ?Sijaelewa kabisa uliyoyaandika,,tafadhali fafanua zaidi, 'TUTASULUHISHWA' kwani tutagombana?
lakini binafsi naamini bado uamuzi wa dr slaa kugombea mwaka huu ulikuwa sahihi maana anajitangaza zaidi ili come 2015 awe anafahamika zaidi,pia iwapo atashindwa urais na kubakia kuwa kiongozi wa chama,naamini atajitahidi kujenga chama kiwe na nguvu zaidi kwenye grassroot kuliko juu tu,naamini atajitahidi kuelimisha watanzania kupitia operesheni mbalimbali. kwenye operesheni zilizopita mbowe alikuwa ndio akiziongoza lakini hajagombea urais so naamini iwapo operesheni zijazo akiziongoza slaa kisha yeye mwenyewe akigombea 2015 ukijumlisha kuwa mwaka 2015 sidhani kama CCM watakuwa na kiongozi madhubuti anayechagulika kuwa rais ,basi ushindi unaweza kuwa wa upinzani
Ni mapema mno kutabiri matokeo ya uchaguzi mkuu,lakini ikiwa ameshindwa nisingemshauri kugombea Uspika kwani Wabunge wa CCM watapiga kura ya pamoja,hawawezi kutaka Dr Slaaa, ameisumbua mno serikali ya chama chao bungeni.Vile vile Samuel Sitta atagombea Uspika ameishatangaza nia ya kuwania kiti hicho.Lakini Raisi Kikwete kupoza wapinzani anaweza akamteua kuwa mbunge wa kuchaguliwa na hata kuwa mshauri wake.
binafsi, siamini kama Dr Slaa atashinda mwaka huu,maana Chadema hawakuwa wamejiandaa au kumwandaa slaa kimkakati agombee urais, na kama maelezo yanayotolewa kuwa alilazimishwa ni sahihi basi timing ya yeye kuingia kwenye kinyang'anyiro ilikuwa somehow too late. hili linatokana na kuwa asilimia kubwa ya watanzania wanakaa vijijini,bado hawana ufahamu wa kutosha na pia hawamjui kiundani slaa, achana na wale walio kwenye miji midogo yenye maingiliano ya kibiashara na kuwa na makabila mchanganyiko, huko upinzani una nguvu.
lakini binafsi naamini bado uamuzi wa dr slaa kugombea mwaka huu ulikuwa sahihi maana anajitangaza zaidi ili come 2015 awe anafahamika zaidi,pia iwapo atashindwa urais na kubakia kuwa kiongozi wa chama,naamini atajitahidi kujenga chama kiwe na nguvu zaidi kwenye grassroot kuliko juu tu,naamini atajitahidi kuelimisha watanzania kupitia operesheni mbalimbali. kwenye operesheni zilizopita mbowe alikuwa ndio akiziongoza lakini hajagombea urais so naamini iwapo operesheni zijazo akiziongoza slaa kisha yeye mwenyewe akigombea 2015 ukijumlisha kuwa mwaka 2015 sidhani kama CCM watakuwa na kiongozi madhubuti anayechagulika kuwa rais ,basi ushindi unaweza kuwa wa upinzani
It's either now or never.
Wanaoukumbuka umaarufu wa Mbowe katika uchaguzi wa 2005 wataelewa ninachosema.
Sikuelewi unachosema. Umaarufu wa Dr Slaa ulianzia bungeni ambapo wengi walianza kum notice na kuona kuwa huyu ni mtetezi wa wanyonge. Ndio maana ya huu umaarufu wake. Mbowe umaarufu wake ni wa majukwani kuhamasisha watu na usisahau wakati wake watu wengi walienda kuangalia helikopta.
Mijitu mingine bwana! Hivi sisi watu wa vijijini tuna nini? Mbona mnatuandama sana kwamba tu wajinga, hatujui kitu? Hiyo kauli mimi inaniudhi sana. Jamani tupeni heshima yetu. Sisi wa vijijini tumeamuka sana kuliko mnavyofikiri. Pengine wengi hawana kompyuta na internet lakini kisiasa tuko macho. Tunajua kinachoendelea; tunajua nani tumpe kura na nani tumnyime: kwa uafahamu kabisa. Hii lugha ya kutudhalilisha wa vijijini ikome.binafsi, siamini kama Dr Slaa atashinda mwaka huu,maana Chadema hawakuwa wamejiandaa au kumwandaa slaa kimkakati agombee urais, na kama maelezo yanayotolewa kuwa alilazimishwa ni sahihi basi timing ya yeye kuingia kwenye kinyang'anyiro ilikuwa somehow too late. hili linatokana na kuwa asilimia kubwa ya watanzania wanakaa vijijini,bado hawana ufahamu wa kutosha na pia hawamjui kiundani slaa, achana na wale walio kwenye miji midogo yenye maingiliano ya kibiashara na kuwa na makabila mchanganyiko, huko upinzani una nguvu.
lakini binafsi naamini bado uamuzi wa dr slaa kugombea mwaka huu ulikuwa sahihi maana anajitangaza zaidi ili come 2015 awe anafahamika zaidi,pia iwapo atashindwa urais na kubakia kuwa kiongozi wa chama,naamini atajitahidi kujenga chama kiwe na nguvu zaidi kwenye grassroot kuliko juu tu,naamini atajitahidi kuelimisha watanzania kupitia operesheni mbalimbali. kwenye operesheni zilizopita mbowe alikuwa ndio akiziongoza lakini hajagombea urais so naamini iwapo operesheni zijazo akiziongoza slaa kisha yeye mwenyewe akigombea 2015 ukijumlisha kuwa mwaka 2015 sidhani kama CCM watakuwa na kiongozi madhubuti anayechagulika kuwa rais ,basi ushindi unaweza kuwa wa upinzani
Itakuwaje Dr Slaa asipochaguliwa kuwa rais? Agombee uspika? ili kuendelea kutetea wanyonge bungeni? Aelekeze nguvu kwenye chama ili ifikikapo 2015 Chadema kiwe imara zaidi?
Najiuliza tu nini hatima ya 'bwana silaha' kwani nadhani waTZ tunamuhitaji huyu bwana kuendelea kuleta chachu ya maendeleo.
Nakubaliana kabisa na wewe ndugu matambo, nimeshaanza kuingiwa na wasiwasi wa 'kimaandalizi' wa ndugu slaa na Chadema kwa ujumla..isitoshe Afrika baada ya ukoloni hakuna rais aliyewahi kuondolewa baada ya muhula 1 tu wa uongozi.
Tutakuwa wa kwanza kutengeneza historia hiyo,,,lakini kwa maandalizi haya, nina mashaka tutafanikisha hilo.