Itakuwaje endapo Lissu pengine ana Camera mwilini na huenda zilikuwa zinahifadhi ya sirini?

Itakuwaje endapo Lissu pengine ana Camera mwilini na huenda zilikuwa zinahifadhi ya sirini?

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Najaribu kujiuliza, vipi kama Tundu alifungwa Camera fiche na itakuwaje endapo hata ya sirini kama ya akina Abdul na Wenje yalihifadhiwa pasina wao kutambua?!

Itakuwaje endapo pengine rasmi ataamua kwa ushahidi wa records ayamwage hadharani hata yale tusiyo yatarajia alipatwa kufuatwa na kuombwa na boss wake wafanye na kwayo hakuridhika nayo na akayahifadhi kama sil/raha ya baadae?!

ITAKUWAJE?!!
 
Back
Top Bottom