Itakuwaje iwapo Shahidi Swila ambaye inaonesha ni Mpelelezi Mkuu asipoweza kuendelea kutoa ushahidi wake?

Itakuwaje iwapo Shahidi Swila ambaye inaonesha ni Mpelelezi Mkuu asipoweza kuendelea kutoa ushahidi wake?

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Huyu anaonekana kuwa ndiyo Shahidi Mkuu kwani alimchukua maelezo Urio, kukusanya vielelezo, kuvipeleka kwa wataalamu wa utambuzi na kufanya mambo mengine.

Je ikitokea hatakuja tena Mahakamani na akaja shahidi mwingine ambaye hatakuwa Mpelelezi Mkuu hapo kesi itaendeleaje? Ninaomba kusaidiwa na wasomi wanasheria wa humu!
 
Huyu anaonekana kuwa ndiyo Shahidi Mkuu kwani alimchukua maelezo Urio, kukusanya vielelezo, kuvipeleka kwa wataalamu wa utambuzi na kufanya mambo mengine. Je ikitokea hatakuja tena Mahakamani na akaja shahidi mwingine ambaye hatakuwa Mpelelezi Mkuu hapo kesi itaendeleaje? Ninaomba kusaidiwa na wasomi wanasheria wa humu!
Hivi akifa na kesi inakufa?
 
Yaani hivi hii kesi iendelee adi mwisho kwa miezi yote 9 iliyo pangwa! hakuna kuishia njiani!
 
Afanye afanyavyo anasubiriwa na mawaswali yake na kadiri anavyojicheleweaha maswali yanaongezeka au waiondoshe kesi wenyewe kama walivyoileta
Waiondoshe kimchongo kama walivyoleta kimchongo 🤸🤸..
 
Huyu anaonekana kuwa ndiyo Shahidi Mkuu kwani alimchukua maelezo Urio, kukusanya vielelezo, kuvipeleka kwa wataalamu wa utambuzi na kufanya mambo mengine.

Je ikitokea hatakuja tena Mahakamani na akaja shahidi mwingine ambaye hatakuwa Mpelelezi Mkuu hapo kesi itaendeleaje? Ninaomba kusaidiwa na wasomi wanasheria wa humu!
Swila kwa maneno yake mwenyewe alisems alifungua kesi kwa maneno ya kusikia.
 
Ukitaka kujua kilio cha kesi hii subiri hukumu ifike.au nyie hamuonag ngumi za ulingo na matokeo.au ofside za mpira wa kibongo.au hata mapicha ya kihindi!
 
Back
Top Bottom