Hivi akifa na kesi inakufa?Huyu anaonekana kuwa ndiyo Shahidi Mkuu kwani alimchukua maelezo Urio, kukusanya vielelezo, kuvipeleka kwa wataalamu wa utambuzi na kufanya mambo mengine. Je ikitokea hatakuja tena Mahakamani na akaja shahidi mwingine ambaye hatakuwa Mpelelezi Mkuu hapo kesi itaendeleaje? Ninaomba kusaidiwa na wasomi wanasheria wa humu!
Mpaka sasa hana kesi ya kujibu , labda samia alazimishe tu kumfunga.Hii kesi Mbowe hachomoki
Mbona hutoi sababu mkuu, pia mtoa mada ameuliza vingine na wewe umejibu vingine duh ,vijana wetu wa siku hizi ni shida!Hii kesi Mbowe hachomoki
Ikupendeze mheshimiwa johnthebaptist iombee kesi hii ifike mwisho kwa wakati na isiishie hapo, kwani kufika mwisho mwa kesi hii nitaweza ku graduate diploma yangu ya sheria.Kesi itaishia hapo hapo!
Waiondoshe kimchongo kama walivyoleta kimchongo 🤸🤸..Afanye afanyavyo anasubiriwa na mawaswali yake na kadiri anavyojicheleweaha maswali yanaongezeka au waiondoshe kesi wenyewe kama walivyoileta
Swila kwa maneno yake mwenyewe alisems alifungua kesi kwa maneno ya kusikia.Huyu anaonekana kuwa ndiyo Shahidi Mkuu kwani alimchukua maelezo Urio, kukusanya vielelezo, kuvipeleka kwa wataalamu wa utambuzi na kufanya mambo mengine.
Je ikitokea hatakuja tena Mahakamani na akaja shahidi mwingine ambaye hatakuwa Mpelelezi Mkuu hapo kesi itaendeleaje? Ninaomba kusaidiwa na wasomi wanasheria wa humu!
Kesi haiifi ,ila nina ukakika kiapo cha mahakamani kina nguvu ukidanganya unajipa laana,kuna mtu anaenda kufa kabla ya hukumuHivi akifa na kesi inakufa?